WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 954
Pia wewe ni wako mtizamo kwa vile ni ndugu wa wakolomije.Ni mtazamo wako.
Kweli mkuu.Pia wewe ni wako mtizamo kwa vile ni ndugu wa wakolomije.
CCM ITAONGOZA NCHI HII KWA KIPINDI KIREFU MNO. TENA SASA HIVI NDIO IKO IMARA KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE ULE
HATUDANGANYIKI TENA HATA MPIGE PUSH-UP NGAPI NA MZEE WA GOLI LA MKONO HAYUPO TENA.
Uchumi wetu unashuka kila kukicha, Mapato yanaongezeka
Kodi kubwa, wafanyabiashara wadogo hawapati faida na wengine wanafunga biashara zao
Gharama ya maisha inapanda, KULA UGALI SIKU HIZI NI ANASA
Usalama wa taifa unapotea, watu wanatekwa
Nchi ya amani>imekuwa nchi ya watekaji
HAPA KAZI TU > SHERIA ZA KAZI MBOVU NA DUNI
Bunge limepoteza imani kwa wananchi, haliwezi simamia HAKI
Vyombo vya USALAMA, Vinatumika kutimiza maslahi binafsi
Vyuoni hamna MIKOPO, Grade zinapandishwa ovyo tena kwa kushitukiza
Uhuru wa HABARI unapotezwa, uhuru wa kuongea na kuhoji na kuuliza haupo tena
Mahakama zinangojewa mpaka zipelekewe kesi
WANANCHI HATUNA USALAMA TENA NA USALAMA UPO KWA VIONGOZI TU.
Shida yenu Hamna mgombea.Yule mzee wenu anazidi kuisha.Lissua naye hekima hana.Mnasubiri 2020 watakaotemwa na CCM.Magalasa yataendelea kuwaangusha.HATUDANGANYIKI TENA HATA MPIGE PUSH-UP NGAPI NA MZEE WA GOLI LA MKONO HAYUPO TENA.
Uchumi wetu unashuka kila kukicha, Mapato yanaongezeka
Kodi kubwa, wafanyabiashara wadogo hawapati faida na wengine wanafunga biashara zao
Gharama ya maisha inapanda, KULA UGALI SIKU HIZI NI ANASA
Usalama wa taifa unapotea, watu wanatekwa
Nchi ya amani>imekuwa nchi ya watekaji
HAPA KAZI TU > SHERIA ZA KAZI MBOVU NA DUNI
Bunge limepoteza imani kwa wananchi, haliwezi simamia HAKI
Vyombo vya USALAMA, Vinatumika kutimiza maslahi binafsi
Vyuoni hamna MIKOPO, Grade zinapandishwa ovyo tena kwa kushitukiza
Uhuru wa HABARI unapotezwa, uhuru wa kuongea na kuhoji na kuuliza haupo tena
Mahakama zinangojewa mpaka zipelekewe kesi
WANANCHI HATUNA USALAMA TENA NA USALAMA UPO KWA VIONGOZI TU.
Nape na bashe ambao wameshaisoma namba tayariUnataka nani akuonee huruma?
Jidanganye hivyohivyo ...CCM ITAONGOZA NCHI HII KWA KIPINDI KIREFU MNO. TENA SASA HIVI NDIO IKO IMARA KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE ULE
CCM ni mkoloni mbaya kabisa.CCM ITAONGOZA NCHI HII KWA KIPINDI KIREFU MNO. TENA SASA HIVI NDIO IKO IMARA KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE ULE
Unakusudia kile chama cha Misukule[emoji23] [emoji23]CCM ITAONGOZA NCHI HII KWA KIPINDI KIREFU MNO. TENA SASA HIVI NDIO IKO IMARA KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE ULE