Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,835
- 27,161
Hizi kampeni zinafanana kwa kiasi kikubwa sana na ndiyo zinepamba moto nchini Tanzania.
Kutokana na kufanana huko, upande mmoja unaweza ukaagizwa na mamlaka kuachana na HATUCHEZI ikiwa ni hali ya kutapatapa kujaribu kupunguza makali ya No Reform No Election ambayo imekuwa ni mwiba mchungu wenye sumu.
Yote kwa yote, what a concidenxe kuona No Reform No Election inekutana na HATUCHEZI zote zikiwa zinadai HAKI.
UmewashtuaHizi kampeni zinafanana kwa kiasi kikubwa sana na ndiyo zinepamba moto nchini Tanzania.
Kutokana na kufanana huko, upande mmoja unaweza ukaagizwa na mamlaka kuachana na HATUCHEZI ikiwa ni hali ya kutapatapa kujaribu kupunguza makali ya No Reform No Election ambayo imekuwa ni mwiba mchungu wenye sumu.
Yote kwa yote, what a concidenxe kuona No Reform No Election inekutana na HATUCHEZI zote zikiwa zinadai HAKI.
Pole.SAMIA ARUDI OMAN , KWA WAJOMBA
Reform zinahitajika kila mahaliYanga wanataka haki inayoporwa na Tff na bodi ya ligi dhidi ambayo ikejikita kutetea upande mmoja, Chadema wanataka tume huru ya uchaguzi ambayo itakuwa sawa katika uwanja wa mapambano dhidi ya vyama vyote.
Serikali haiwezi hata kutia kidole kwenye suala la yanga coz wakifanya hivyo majibu yake watayapat octoba!.