Hatua zimeanza kuchukuliwa

Hongera kwao hatua nzuri ujumbe umewafikia watesi
 
Kama Mbowe anashikiliwa na ugaidi, wananchi wanalalamika nini...si wasubiri ukweli? Kumbukeni kuwa GAIDI si lazima ushike bunduki, angalieni waarab wafanyavyo....mtu anahonga hela vijana wasiojitambua akili wajiue huku yeye akichekelea.
 
Na wewe kimukhe mukhe Cha nini??,Si utulie tu usubiri ukweli??.
 
Kwa hiyo kuandika hivyo ndio kunasaidia kesi ya ugaidi ibatilishwe?

Acheni uoga kama mna uchungu kweli basi ingieni barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…