Vivan cappatinho
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 284
- 238
- Thread starter
- #21
Nikiwa lasaba haina maan sina huelewa mkuuLasaba unajua specs za sim namna hio[emoji848]
Nikiwa lasaba haina maan sina huelewa mkuuLasaba unajua specs za sim namna hio[emoji848]
Mkuu kwanini umekuwa mvivu kusoms ujumbe wote ukakimbilia kucomment hakun sehem yoyot nmeandik nlinunua cm lak 6 soma vzrNyie ndio munaosababisha matapeli kuzidi kufurika jf, fanya verification kwanza kama ni mkweli ndipo umsaidie, hujiulizi tu kuwa kazi hana, je laki sita ya kununua simu katoa wapi, je simu ya laki sita ndio kipaumbele chake kikuu ktk maisha yake?? Mwisho kabisa inawezekana pia mleta thread ni wewe mwenyewe umecomment hpa ili kuamsha watu ili uwapige vi ngawira vyao.
Mungu alivyoiumba hii dunia kila mtu kwa jinsia yake, elimu yake na mazingira yake amempa baraka za kumudu maisha yake. Hivyo elimu, mazingira na jinsia sio sababu ya kushindwa kumudu maisha. Hapo ulipo na kwa jinsia yako kuna watu wanapiga hela. Tulia. Mwombe Mungu afungue fahamu zako uone fursa zilizoko mbele yako. Anza na Bwana kwa kiasi alichokupa. Kuwa mkweli na mwaminifu kwa unalolifanya.
Mungu ni mwema utamuona akitenda.
Bado una ujasiri wa kuendelea shawishi watu unahitaji msaada? watu wamefukunyua ma uozo yako wameyaweka nilitegemea utapotea usionekane ila bado unaendelea kujibu raia?Jaman eb tuelewane kidogo mimi sijaomba msaada wowote wa pesa kwa mtu sasa neno tapeli linatoka wapi? Nmesema nauza simu na kuomb waz la biashar. Mimi sijasoma lakin nin busara wewe msom unaecomment ujing kwa kukurupuka elimu yako inafany kaz gan am inatusaidia nin sis wa mtaan kam busar tu umekos