Hatua ya mwisho mbele kabla sijakata tamaa

Vivan cappatinho

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
284
Reaction score
238
Nimejaribu kila mara kutafuta kazi lakini nimekosa na elimu yangu ni ndogo sana darasa la saba nisiekuwa na ujuzi wowote, umri umekwenda 24 kamwili kadogo nadharaulika.

Hivyo naamua kuuza simu yangu pendwa kabisa nilioipata kama zawadi nipate mtaji nianze kulangua dagaa au samaki kwenye kokolo alafu niuze reja reja.

Ni aina ya infinix zero 4 ina 4g ina ram 3gb ina internal 32gb pia inakaa na charg haina tatizo lolote haijawai kufunguliwa wala kwenda kwa fundi, ila kamera yake ni ya kawaida sana.

Dukani ni laki6 (600,000) mpya ila mimi naiuza 230,000 tunaweza zungumza pia.

Kama kuna mwingine ana wazo bora la biashara kwa mtaji huo anisaidie huku nikiwa nasubiri mteja
 
Nimejaribu kila mara kutafuta kazi lakini nimekosa na elimu yangu ni ndogo sana darasa la saba nisiekuwa na ujuzi wowote, umri umekwenda 24 kamwili kadogo nadharaulika. Ivyo naamua kuuza simu yangu pendwa kabisa nilioipata kama zawadi nipate mtaji nianze kulangua dagaa au samaki kwenye kokolo alafu niuze reja reja. Ni aina ya infinix zero 4 ina 4g ina ram 3gb ina internal 32gb pia inakaa na charg haina tatz lolote haijawai kufunguliw wal kwend kwa fundi, ila kamera yake ni ya kawaida sana. Dukani ni laki6 600000 mpya ila mimi naiuza 230000 tunaweza zungumza pia.
Kama kuna mwingine anawazo bora la biashara kwa mtaji uo anisaidie uku nikiwa nasubiri mteja
Pole sana, nimekuelewa sana naomba uni PM na mm nikuchangie japo kidogo kwani shida hazina mwenyewe,pia USIKATE TAMAA KAMWE MUNGU NI MWEMA
 
Nyie ndio munaosababisha matapeli kuzidi kufurika jf, fanya verification kwanza kama ni mkweli ndipo umsaidie, hujiulizi tu kuwa kazi hana, je laki sita ya kununua simu katoa wapi, je simu ya laki sita ndio kipaumbele chake kikuu ktk maisha yake?? Mwisho kabisa inawezekana pia mleta thread ni wewe mwenyewe umecomment hpa ili kuamsha watu ili uwapige vi ngawira vyao.
 
huwezi jua labda anajijibu mwenyewee
 
Shukrana sana kwa ufafanuzi,nimekuelewa sana na nitafanya hilo nashauri tusaidiane kulipambanua, ni vile tu nimejisikia huruma nikidhani ni kweli lakini kwa ufafanuzi wako yote pia yanaweza tokea hasa kwa DAR
 
Nyie ndio munaosababisha matapeli kuzidi kufurika jf, fanya verification kwanza kama ni mkweli ndipo umsaidie, hujiulizi tu kuwa kazi hana, je laki sita ya kununua simu katoa wapi, je simu ya laki sita ndio kipaumbele chake kikuu ktk maisha yake?? Mwisho kabisa inawezekana pia mleta thread ni wewe mwenyewe umecomment hpa ili kuamsha watu ili uwapige vi ngawira vyao.
Kakwamnia alipewa zawadi. Soma kwanza uelewe halafu ndiyo ujibu
 
Mungu alivyoiumba hii dunia kila mtu kwa jinsia yake, elimu yake na mazingira yake amempa baraka za kumudu maisha yake. Hivyo elimu, mazingira na jinsia sio sababu ya kushindwa kumudu maisha. Hapo ulipo na kwa jinsia yako kuna watu wanapiga hela. Tulia. Mwombe Mungu afungue fahamu zako uone fursa zilizoko mbele yako. Anza na Bwana kwa kiasi alichokupa. Kuwa mkweli na mwaminifu kwa unalolifanya.

Mungu ni mwema utamuona akitenda.
 
Nimejaribu kila mara kutafuta kazi lakini nimekosa na elimu yangu ni ndogo sana darasa la saba nisiekuwa na ujuzi wowote, umri umekwenda 24 kamwili kadogo nadharaulika. Ivyo naamua kuuza simu yangu pendwa kabisa nilioipata kama zawadi nipate mtaji nianze kulangua dagaa au samaki kwenye kokolo alafu niuze reja reja. Ni aina ya infinix zero 4 ina 4g ina ram 3gb ina internal 32gb pia inakaa na charg haina tatz lolote haijawai kufunguliw wal kwend kwa fundi, ila kamera yake ni ya kawaida sana. Dukani ni laki6 600000 mpya ila mimi naiuza 230000 tunaweza zungumza pia.
Kama kuna mwingine anawazo bora la biashara kwa mtaji uo anisaidie uku nikiwa nasubiri mteja

Hii post imenifikisha pabaya sana sio kweli mimi sijatembea na mwanafunzi wala sijampa mimba mtu yoyote nlitumia njia ile ili niuze simu alaka, kuna jamaa umu mse....... Kajifanya anatak kununua simu akaniita tukakutana.... Akanichomesha kwa askar dah nmetoa hela nying sana kwa ujinga wangu. Yan ndio natoa saivi police toka saa tatu asubuh yan jamaa kanichoma kwa police et nmempa mimba mwanafunzi alaf akatak na kunidhurum anawaambia police et hii simu ni yake sema police wanabusara sana wakagoma kumpa simu jamaa akaondoka akaniachia msala dah nimejifunza kitu
 
Nyie ndio munaosababisha matapeli kuzidi kufurika jf, fanya verification kwanza kama ni mkweli ndipo umsaidie, hujiulizi tu kuwa kazi hana, je laki sita ya kununua simu katoa wapi, je simu ya laki sita ndio kipaumbele chake kikuu ktk maisha yake?? Mwisho kabisa inawezekana pia mleta thread ni wewe mwenyewe umecomment hpa ili kuamsha watu ili uwapige vi ngawira vyao.

Soma vizuri kasema simu alipewa zawadi, hajainunua kwa pesa yake
 
Una miaka 23 unaongea kuhusu kukata tamaa seriouse?,na bado unao wa kukupa zawadi yenye thamani ya laki sita,?unakwama wapi?
 
huwezi jua labda anajijibu mwenyewee
Nyie ndio munaosababisha matapeli kuzidi kufurika jf, fanya verification kwanza kama ni mkweli ndipo umsaidie, hujiulizi tu kuwa kazi hana, je laki sita ya kununua simu katoa wapi, je simu ya laki sita ndio kipaumbele chake kikuu ktk maisha yake?? Mwisho kabisa inawezekana pia mleta thread ni wewe mwenyewe umecomment hpa ili kuamsha watu ili uwapige vi ngawira vyao.
Wenye kusikia na wasikie.
Screenshot_20190627-074127.jpeg
 
Back
Top Bottom