Hatua gani stahiki za kuwakabili Panya Road?

Dawa yao ni kuua tu.. ukishaua 5 watasambaratika wote kwa woga,

ila ukikamata uwapeke polisi kisha wanatoka kwa dhamana hapo utapambana nao kwa miaka na miaka

Violence inadhibitiwa kwa violence sio sheria
Siyo rahisi kilivyo sheria bado zipo na inafanya kazi. Kumbuka case ya christopher bageni
 
Uanze msako wa nyumba kwa nyumba. Watakaohisiwa kuwa na viashiria vya panya road, wakapewe mafunzo ya ukakamavu huko JKT.
 
Crime.
 
Dawa yao ni kuua tu.. ukishaua 5 watasambaratika wote kwa woga,

ila ukikamata uwapeke polisi kisha wanatoka kwa dhamana hapo utapambana nao kwa miaka na miaka

Violence inadhibitiwa kwa violence sio sheria
Unaua kwa sheria ipi? Kuua ni jambo kubwa sana. Tuache sheria ifuate mkondo wake.
 
Ushauri wako nini kifanyike?
 
Washirika kivipi?
 
Inaweza kusaidia? Tunawapataje???
 
Wewe unaposikia hao panya road wanasafirishwa kwa magari kuelekea maeneo ya tukio unahisi nini??
Si kwamba kuna watu wanaratibu harakati zao??

Panya road na mioto kila uchao sijui ni kitu gani kiko nyuma ya haya matukio. Anyway tuna amini serikali ina mkono mrefu haishindwi kitu kirahisi rahisi nina haki watapata jawabu lake. Je wamachinga walio paangwa wamepangika vizuri panya road hawezi kuwa ni wale wamachinga ambao hawakupangika?
 
Piga vidole wote na kuwabaka tu kabla ya kuwaua maana serikali imewashinda.
 
Hii ndiyo njia sahihi, kingine wazazi wanaotegemea kulishwa au kupewa vitu na hivyo vitoto wafungwe jela miaka 30.
 
Imarisha ulinzi shirikishi, kuwasaka wazazi wao na kuwapa onyo, kukamata viongozi wa panya na kuwapa mfano
Hakuna kuwapa onyo wazazi wao ni kifungo tu, hao wazazi wanafurahia vitu wanavyopewa na hao panya road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…