Nimeipenda hii, kwamba kama mgombea wa urais wa JMT atatoka CDM au NCCR, basi mwanacama mmoja wa CUF kutoka ZNZ itabidi ahamie/ajiunge na CDM/NCCR Mageuzi ili awe mgombea mwenza na pia kulinda masilahi ya CUF ndani ya UKAWA.
This is a smart idea and probably the last but one nail on the coffin of CCM