Hatma ya Operation +255: Mbowe tupe maelekezo

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
3,548
Reaction score
2,181
Salaam.

Mhe Mbowe, sina shaka umesikia kauli ya mkuu wa Kaya kuhusu Katiba mpya na kwa tafsiri nyingine hata Mchakato wa IGA. Nakuuliza, kwakuwa yote hayo, kama core matters, za operation hii, ni nini uelekeo mpya? Mtaendelea na operation mnayojua haiwezi kuwa?

Mwisho, ita press tupe mwongozo. Ukikaa kimya kamanda unatuangusha sana.

Pangu Pakavu,

Bunda.

Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo hoja yako ilijibiwa na Tundu Lissu alipohojiwa na waandishi baada ya kuachiwa kwa dhamana kule Arusha alisema wataendelea na mikutano yao kama kawaida.
 
Chochea magogo, nyasi, majani tia mafuta taa na petrol=moto mkali
 
Ni Swali zuri

Vinginevyo hii Operesheni itakuwa ni matumizi mabaya ya ruzuku!
 
Next week Kanda ya Kaskazini....Tega sikio na Macho

Tunapanda wote Tunashuka wote!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…