aliiba kura kwani?.Hatma ya mbunge wa jimbo la Meatu kupitia Chadema mh. Meshack Opulukwa itajulikana may 5 mwaka huu. Hii ni kufuatia kesi ya kupinga ushindi wake iliyofunguliwa mahakamani na aliyekuwa mgombea wa CCM bwana Salum. May 5 ndio siku rasmi ya jaji kutoa maamuzi. Source: Radio Free Africa, kipindi cha matukio.
mgombea wa magamba Salum Mbuzi si ndiye aliyewanyanganya tractor wanakijiji na kutaka kuchukua madawati aliyonunua wakati akiwa mbunge