mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,223
- 22,380
Ni uzuni na majonzi kwa watu wa europe na pia kuna sintofahamu ya hatma ya muungano wa EU na Nato baada ya mwanachama mkubwa kuamua kujiondoa.
Tulishangaa pale tuliposikia kuwa umoja wa kisovieti umevunjia,hadi wakosoaji walitokea kila kona na kusema kuwa viongozi wa umoja wa kisovieti walishindw kuongoza vizuri umoja huo.
Je, Inamaana viongozi wa EU awakujifunza yaliyotokea katika umoja wa kisovieti,hili swala la nchi kubwa kujitoa na kuona wao ndo wanaumia kwenye umoja sio jambo geni hata urusi walisema wao ndo wanapata tabu sana kwenye umoja wa kisovieti.
Je, Viongozi wa EU awakutoa wipaumbele kwa nchi kubwa kwenye umoja huo ili isije ikatokea kama ya urusi.hili ni pigo na mafundisho kwa dunia nzima na viongozi wengi wasipokuwa makini basi tutegemee kuongezeka kwa nchi nyingi.yani kugawanyika kwa mataifa