aisee... ningekuwepo hapo mbuzi angeona cha mtema kuni! angepigwa bonge la kabari halafu akawekwa kwapani! hawezi kusumbua malighafi kama hiyo! nyang'au kabisa huyo mbuzi
Hahahahahaaa hata use na jua nn nyota na hizo v hao wajeda hapo mbuz watamtoa bila mashart huku wakisema samahani Dada kama akikosa majani Sikh nyindne mlete tu kuna mauwa meng hapa atakula