View attachment 319821
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (kulia) akipeana mkono na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe.
Siku zote kiburi cha Serekali ya CCM huwa kinakuwa faida kwa upinzani tanzania.
Mtakubumbuka kiburi cha CCM kwenye bunge la katiba,kilizaa Ukawa kwa mara ya kwanza Cuf na CHADEMA wakajoin pamoja.
Hilo limejitokeza tena jana.Mwondelezo wa kibri umefuta tofauti kati ya ACT na CHADEMA Leo nani alitaraji Zitto atakula sahani moja na Lema?
Leo Zitto yupo pamoja tena na mlezi wake wa kisiasa Freeman
Kiburi kimezaa jeuri
Huyo kigeugeu, anacheza kulingana na mdundo wa ngoma.(Nyoka mwenye makengeza)
sijui umeandika pambio la ibada ya ngapi??Huwezi kum'beza Zito ndugu,huyo ni kijana mtumia akili,kua nae ndani ya chama ni faida,walijua kuna siku atakua kuja mwenyekiti wa chama wakampangua kwa visingizio vingi visivyo vya kweli,tuendako huyo kijana akiwa hai atakwezwa na watashushwa waliomdidimiza
Kwani nyie magamba Zito kafanya nini cha maana katika hilo?.Ukiwa ndo wameisha
Katika mazingira ya kusikitisha wale waliomwita msaliti katika chama wajikuta ghafla wakitoa pongezi kubwa kwake, kwa kuonyesha ushujaa. Zitto Kabwe kwa upande wake amekaliliwa akisema waliokuwa wabaya wake tayari amewasamehe.
Zitto ni jeshi la MTU mmoja, haitaji watu wenye elimu ya hapa na pale.Kwenye Siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.
Zitto ili apate kung'aa ana wahitaji UKAWA.
Na nani?amekaliliwa?????????!!!!!!!!
Usijidanganye Zzk anajua nini anahitaji sasa.Yuko smart kuliko unavyofikiri.Anajua ili hoja zake ziungwe mkono lazima wake meza moja kujadiliana.Zitto ni jeshi la MTU mmoja, haitaji watu wenye elimu ya hapa na pale.
Na nani?