Wasema Magufuli safi ataibuka kidedea.
Wadai tatizo Mfumo.
Wasema....Rushwa,Ufisadi,Demok
rasia,Ukandamizaji,Ubabe si Tatizo.
What's the so called mfumo?
unaota mchana wewe JF removed uzi za kijinga ambazo hazina source wala quote yeyote mtu anaamka na kubandika ndoto zake za mchana hapa kwenye jukwaa yaani tabu sana shule za kata
Wasema Magufuli safi ataibuka kidedea.
Wadai tatizo Mfumo.
Wasema....Rushwa,Ufisadi,Demok
rasia,Ukandamizaji,Ubabe si Tatizo.
What's the so called mfumo?
Tatizo la ukawa rais atakuwa mchafu na serikali yake itakuwa chafu kwa sababu aliyowabeba nyuma yake ni makapi ya ccm (wachafu). Kwani kitendo cha lowassa kuwatafutia majimbo makapi wenzake ni ukweli kuwa ndilo tarajio la serikali yake. Magufuli ni msafi na walionyuma yao ni wasafi.

Ukawa wanamkubali Dr Magufuri toka kitambo sana tu Sema wanapiga siasa tu ila ukweli wanao moyoni.... Rejea video youtube wakat Magufuri yuko jimbo la Mbowe, Jimbo la Halima mdee mpaka mdada akasema Dr ni jembe.... So wapinzani wanamkubali Magufuri kiana na inawezekana hata kura wakampatia.