Hatimaye Startimes watoa taarifa rasmi kuhusu channel za bure

Hatimaye Startimes watoa taarifa rasmi kuhusu channel za bure

Aibu kubwa, ni afadhal niwe na bundle nifuatilie habari kwenye mitandao maana haya makampuni unyonyaji umezidi
 
Akili kumkichwa kekundu Kekundu wajinga ndio waliwao yaani ili uweze kuona channel za bure inabidi uwe na king'amuzi cha elfu 89 kama unacho cha elfu 45 waiingereza wanasema "IT EATS YOURS" yaani kwa Kimadafu "IMEKULA KWAKO".
 
Back
Top Bottom