LG G2 yangu nikitaka kuiupdate inafail inakuwa kama inaanza then inaniletea ujumbe huu
Err:0x11110004
Tatizo ni nini wakuu
Kaka sio simu ambayo imekuwa unlocked
kwenye custom ROM ndo inakua nzuri sanaKikubwa sana kilichonifurahisha simu iko so speed applications zinafunguka faster sana na pia mwonekano wake ni mzuri!
Nimeipenda kwa kweli hii update!
Ukubwa ni kama MB 1138 hivi approximately 1GB
Custom ROM ndo nini mkuu?
Ebu nitoe ushamba na nitaiwekaje?
ni Rom tu ila sio official .yenyew ina features nyingi zaidi ya stock ROM .yani unaweza flash hyo stock ROM yako na ukaweka custom ROM. ukitaka kuona mambo yalivyo nenda Google then search lolpop custom ROM for galaxy s4 then click image ili uone muonekano wake.Ni vzuri kupata stable version ya ROM inayotaka nafikir cyanogen wtakua wanayo tayari kweny cm 12.kumbuka Ni risk kufanya flashing ya custom ROM since unaweza brick Simu yko .kikubwa usiwe muoga tu.
Mkuu unazidi kunipoteza simu yangu unavyosema imekuwa unlocked unamaanisha nini kwa sababu simu yangu sio ya promotion
Samahani mkuu naomba unitoe gizani
Simu ikiwa imetoka marekani au nchi ambazo simu zao zinauzwa na mitandao ya simu kama t-mobile, verizon, vodafone, at&t nk huwa ni ngumu kupata ota (updates za simu kwa kupitia simu yenyewe).
Ni lg g2 model gani?
LG G2 yangu nikitaka kuiupdate inafail inakuwa kama inaanza then inaniletea ujumbe huu
Err:0x11110004
Tatizo ni nini wakuu
Nimeupdate LG G2 ambayo ni T Mobile na inatumia Lollipop. So kaka Chief-Mkwawa vp hapo
Nimevutiwa na LG G2, nataka niweke pembeni Xperia. Nipe overview khs performance yake.
Nimeupdate LG G2 ambayo ni T Mobile na inatumia Lollipop. So kaka Chief-Mkwawa vp hapo
Aisee ingawa ni cores-4 ila balaa lake ni noma. Hafu iko Faster sana especially ukiupdate to Lollipop. Battery Life is good. Na camera iko fine 13mp. Selfie iko poa too.
Haina memory card slot na battery non removable.
Try it uinjoy powee na vol buttons za nyuma