Hatimaye rushwa imeshindwa Same Magharibi sasa Kutimkia ACT-Wazalendo

Niliwatahadharisha wana same magharibi kwamba uu mwana yusto kadeghe teve hafai kabisa ktk siasa za chadema,
1)ana dharau,2)hana speech potential,hafahamu same magharibi ilivyo,babaje mchungaji yusto kadeghe(marehemu)alifisidi sana mfedha za miradi ya kanisa pentekoste,(alikufa kifo cha laana,kwa kukutwa uchi mtaroni wakati wa alfajiri,)laana huzaa laana.

 
Wapare hawatishwi na kundi la kina mudi alone,wana skandali nyingi za ubakaji wake za watu,hata sijui inteljensia ya chadema ilikifanya kazi gani kuwapa hao vijana uongozi,
kukatwa kwao ni ishara ya kutakaswa kwa chama(party purging,sasa ushindi huoooooo chadema.oyeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Wapare hawatishwi na kundi la kina mudi alone,wana skandali nyingi za ubakaji wake za watu,hata sijui inteljensia ya chadema ilikifanya kazi gani kuwapa hao vijana uongozi,
kukatwa kwao ni ishara ya kutakaswa kwa chama(party purging,sasa ushindi huoooooo chadema.oyeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
na yule wa bunda mjini aliyetolewa na kuwekwa mwngne vp alitoa rushwa au mbeleko kwa yule msagajwi???
 
Mkuu ni ushahidi gani huo waliopeleka kuwa katoa rushwa?

usijekuta ni fitna tu mkuu wananchi wa Same wakakosa kiongozi bora!
 
Mkuu ni ushahidi gani huo waliopeleka kuwa katoa rushwa?

usijekuta ni fitna tu mkuu wananchi wa Same wakakosa kiongozi bora!

wa picha, wafanya kazi wa hotel alikolaza wajumbe na wafanya biashara waliokuwa wana muuzia supu kifupi wametoa ushahidi wajumbe wenyewe yaani walihongwa....ila kwa kuwa walilishwa yaamini ambayo wakati wakila hawakulijua hilo hawakuwa na namna zaidi ya kumpigia kura Kadeghe...
 
CHADEMA kwa waka moto baada ya Kamati kuu kurudisha majina ya wagombea wenye kulinda maslahi ya wakubwa.
 
yaamini haitumiki kwenye supu ya kununua mpaka uwe umechinja na kunuia kwa kile ulichochinja hakuna mma wa hotelini
 
Mbona Moshi vijijini ni the same case na hawajatoa maamuzi? Mkuu kama chadema na UKAWA wanataka kushinda hili Jimbo, basi wamrudishe Jonas Kadeghe, la sivyo ccm wanachukuwa jimbo.

Inakuwaje munamkata huyu mtu Kwasababu za kipuuzi kabisa? Lowassa mumchukue Jonas mumkate? Think!
 
Punguzeni kuendekeza njaa Chadema hivi kumnulia mtu supu ya ulimi na chapati mbili ni rushwa?
Ni majungu tu, inawezekana kuna hujuma huko kwenye kamati kuu! Huyo jamaa waliomkata ni mtu decent tu angelisaidia Hilo Jimbo sana tu! Hii wamemuonea kabisa!
 
Mhe. Mathayo Mbunge wa CCM sasa anapita kwa USHINDI wa Tsunami. asanteni CDM kwa kusafisha njia hii.

Queen Esther

Mnakanyaga demokrasia mukibanwa mnasingizia rushwa, rushwa ni kosa la jinai kwa nini musiihusishe PCCB na kumfungulia mashtaka kama kweli!?
Kujuana, na upendeleo wa wazi ndio utaowangamizeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…