BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,199
- 14,384
Bora umemwambia ukweliWewe muongo mno ulisema.uko dada ako na shem amekumbia uondoke HV mnadhni huku Ni facebook fb nn
Kujuwa kuandika tu unaleta ujinga huku
Bladfakeni
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sorry mkuu inaonekana capacity Yako ya reasoning haina tofauti na Mtoto wa kindergarten. Kwani mtu kukaa shemeji yake ndio Kizuizi cha kutokuwa na mahusiano? The only and big problem ni kuwa mnatumia emotions zaidi kuliko logicWewe muongo mno ulisema.uko dada ako na shem amekumbia uondoke HV mnadhni huku Ni facebook fb nn
Kujuwa kuandika tu unaleta ujinga huku
Bladfakeni
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Inshaallah,Mola akurehemu!Licha ya kupost status ya wimbo wa Mario Dear Ex tena pale anaposema utamrudia Ex wako au bora kufa na kujiona kuwa mimi ni Handsome boy sana kuwa I don't deserve to date short girls. Kumbe ni Mimi ndio nilikuwa nina vingi vya kupoteza kwenye mahusiano yetu.
1. Nimekaa miezi miwili mimi bila ya kusuuza rungu zaidi ya kukawia bafuni tu.
2. Kumbe mimi sio handsome tena ni domozege promax mbaya zaidi hata pesa sina.
3. Mimi simu yangu zilikuwa zinaingia notifications za mitandao na sms za kudaiwa tu atleast leo nimetumiwa mchana mwema mixer kuulizwa baby umekula
Hatimaye leo nimerudisha mpira kwa kipa nakushukuru sana mpenzi wangu Priscilla toto la Mulebani kwa kukubali msamaha wangu.
Aah acha upumbafu dogo plz acha upumbafu hamia fb tu huku siko na Wala huku siko type yako ,mnafanya jf ipoteze laza ile ya u great thinker upuuzi Sana wee dogoSorry mkuu inaonekana capacity Yako ya reasoning haina tofauti na Mtoto wa kindergarten. Kwani mtu kukaa shemeji yake ndio Kizuizi cha kutokuwa na mahusiano? The only and big problem ni kuwa mnatumia emotions zaidi kuliko logic
Sawa Great thinker.Aah acha upumbafu dogo plz acha upumbafu hamia fb tu huku siko na Wala huku siko type yako ,mnafanya jf ipoteze laza ile ya u great thinker upuuzi Sana wee dogo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uwe na adabu kijna , nikweli unajuwa kuandika vzr Ila acha kuandika na kuleta nyuz za kipumbafu humuSawa Great thinker.
Amekosea nn na wwBro. Umekosea sana aisee..
MPAKIE MKONGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOLicha ya kupost status ya wimbo wa Mario Dear Ex tena pale anaposema utamrudia Ex wako au bora kufa na kujiona kuwa mimi ni Handsome boy sana kuwa I don't deserve to date short girls. Kumbe ni Mimi ndio nilikuwa nina vingi vya kupoteza kwenye mahusiano yetu.
1. Nimekaa miezi miwili mimi bila ya kusuuza rungu zaidi ya kukawia bafuni tu.
2. Kumbe mimi sio handsome tena ni domozege promax mbaya zaidi hata pesa sina.
3. Mimi simu yangu zilikuwa zinaingia notifications za mitandao na sms za kudaiwa tu atleast leo nimetumiwa mchana mwema mixer kuulizwa baby umekula
Hatimaye leo nimerudisha mpira kwa kipa nakushukuru sana mpenzi wangu Priscilla toto la Mulebani kwa kukubali msamaha wangu.
Licha ya kupost status ya wimbo wa Mario Dear Ex tena pale anaposema utamrudia Ex wako au bora kufa na kujiona kuwa mimi ni Handsome boy sana kuwa I don't deserve to date short girls. Kumbe ni Mimi ndio nilikuwa nina vingi vya kupoteza kwenye mahusiano yetu.
1. Nimekaa miezi miwili mimi bila ya kusuuza rungu zaidi ya kukawia bafuni tu.
2. Kumbe mimi sio handsome tena ni domozege promax mbaya zaidi hata pesa sina.
3. Mimi simu yangu zilikuwa zinaingia notifications za mitandao na sms za kudaiwa tu atleast leo nimetumiwa mchana mwema mixer kuulizwa baby umekula
Hatimaye leo nimerudisha mpira kwa kipa nakushukuru sana mpenzi wangu Priscilla toto la Mulebani kwa kukubali msamaha wangu.
Rejesha majeshi mkuuPlisilla ni ex wangu dem flan hv black kapanda kidogo,alikuwa field hapo halmashauri ya Muleba....kila la heri
Bora kupasha makabichi kuliko kubadilisha matumizi ya sabuniUmeamua kupasha makabichi [emoji1787]