Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Bujibuji hebu ninong'oneze aiseee hicho kivulana cha kazi kinachomkodolea mimacho "mai switi dauta" kinaitwa nani?Karibu sana familia ya Mwita Maranya.
Naona wewe na mkeo mwaJ na mwanenu Zion Daughter mliyeyuka ghafla na kile kivulana kinacho muharibu mwanao huku kikijidai ni kivulana cha kazi nacho sikioni siku hizi.
karibu muraaa kuna kizazi kipya humu
Ahsante miss neddy
Hata mimi naona kuna kizazi kipya humu tena ndio kimeshika hatamu.
Wadau wote wa MMU asalam aleikum... bwana Yesu asifiwe... Amang'ana ghenyu...habari zenyu...mwangaluka kinehe lolo...wagambaki waitu...mpola zani...habari zenyu bwanshee...saita...ndaga fijo naloli na fuso...
Napenda kutumia fursa hii kuelezea furaha yangu kwamba baada ya kimya cha muda mrefu sasa nimerudi tena Jukwaani katika mtaa huu maarufu sana hapa bongo.. wa JF.
Nimewakumbuka sana wadau wote tuliokuwa tukishirikiana hapa jukwaani katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo yetu binafsi.
Nimetumwa salamu kwa wote lakini naomba hawa wachache wawakilishe wengi;
Filipo Asprin (michepuko sio dili mzee mwenzangu) charminglady Mtambuzi(baba ngina dawa ya deni ni kulipa) WiseLady miss strong (nakuwowa mke wa pili hivi karibuni) Excel (tata mbuyaole) Baba V (heshima yako mwenye kigoda au mapinduziiii yamekupitia?) Arushaone (shee..mswati upo?) KOKUTONA (ije nkubwile) Dark City (heshima yako babu yao) Madame B (miss you mbaya binamu)@mamndenyi (nakuweka kiporo) watu8 mwekundu (tatu ndio habari ya mujini) mayenga Ben Mugashe ladyfurahia platozoom gfsonwin cacico Cantalisia Kaizer Bujibuji (...) Elizabeth Dominic Nivea King'asti (mtoto wa mzee mtambuzi nasikia umepata mchumba mkurya) Dena Amsi Sabayi marejesho (shemejiiiiii) PakaJimmy LiverpoolFC Evelyn Salt (...)
Karibuni woooote muonje DAY SPECIAL YA LEO - "KICHURI":grouphug::grouphug::grouphug::welcome::welcome::welcome:
Karibu sana Mkuu, Mwita Maranya watu wakazusha hapa kwamba ulikuwa kwenye kundi la 201 na sasa umeamua kuiunga mkono UKAWA na kutoka nje ya bunge!
Mwita Maranya karibu nyuma welcome back
nilikumiss sana....
ladyfurahia utakuwa umenifananisha mimi sijawahi kufanya kazi ya korokoroni. Hiyo kazi ya kupanga mawe nakumbuka alikabidhiwa Jiwe Linaloishi.kweli mkurya umepotea sana walikuweka lupango nini ahaaaaaa nimekumbuka wewe ulipewa kazi nzito ya kupanga mawe kule banini?
Hahahahaaa... wewe Evelyn Salt chumvi ya ukweli ngoja nikufuate kule kwenye jukwaa lako la kujidai.
Wadau wote wa MMU asalam aleikum... bwana Yesu asifiwe... Amang'ana ghenyu...habari zenyu...mwangaluka kinehe lolo...wagambaki waitu...mpola zani...habari zenyu bwanshee...saita...ndaga fijo naloli na fuso...
Napenda kutumia fursa hii kuelezea furaha yangu kwamba baada ya kimya cha muda mrefu sasa nimerudi tena Jukwaani katika mtaa huu maarufu sana hapa bongo.. wa JF.
Nimewakumbuka sana wadau wote tuliokuwa tukishirikiana hapa jukwaani katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo yetu binafsi.
Nimetumwa salamu kwa wote lakini naomba hawa wachache wawakilishe wengi;
Filipo Asprin (michepuko sio dili mzee mwenzangu) charminglady Mtambuzi(baba ngina dawa ya deni ni kulipa) WiseLady miss strong (nakuwowa mke wa pili hivi karibuni) Excel (tata mbuyaole) Baba V (heshima yako mwenye kigoda au mapinduziiii yamekupitia?) Arushaone (shee..mswati upo?) KOKUTONA (ije nkubwile) Dark City (heshima yako babu yao) Madame B (miss you mbaya binamu)@mamndenyi (nakuweka kiporo) watu8 mwekundu (tatu ndio habari ya mujini) mayenga Ben Mugashe ladyfurahia platozoom gfsonwin cacico Cantalisia Kaizer Bujibuji (...) Elizabeth Dominic Nivea King'asti (mtoto wa mzee mtambuzi nasikia umepata mchumba mkurya) Dena Amsi Sabayi marejesho (shemejiiiiii) PakaJimmy LiverpoolFC Evelyn Salt (...)
Karibuni woooote muonje DAY SPECIAL YA LEO - "KICHURI":grouphug::grouphug::grouphug::welcome::welcome::welcome:
Yaani huyu huyu Excel niliyemuacha anajifunza kuongea leo hii anammiliki malkia miss neddy?
Excel una kesi ya kujibu...