Kwema humu???!
Baada ya kufutiwa account ya Yna4 hatimae nimerudi tena..siku mbili bila JF wallah homa ilikua yaninyemelea.
Ila kama kuna mtu aliamua kutengeneza email na kuwafuata mods kuwaambia wafute account yangu..yote kheri.
Sent using
Jamii Forums mobile app