Wewe mbongo tu wa Manzese wa Danish wanajijuaam half Danish...tuliaa weweee
Acha wivu wa kitotoWewe mbongo tu wa Manzese wa Danish wanajijua
Na wewe tulia manzese pigwa jua la kutoshaAcha wivu wa kitoto
Noa hapati mtuSasa mnakimbia wote Tanzania mnamwachia nani wakuu??
Mnaondoka kabla hamjachukua Noah zenu daaah!!
Si mkulu alisema mkuu wangu?? sasa kwanini tusipate??
Acha uongo bhana. Sema umeshindwa tu kupata nafasi ila ukiipata hutakaa bongoKumbe kuikimbia nchi yako uliyozaliwa ni jambo la kishujaa.
Ni ajabu na kweli.
Kwahiyo kungekuwa na fursa pana ya kupewa uraia wa huko, watanzania wote tuhamie Ulaya.
Naipenda nchi yangu Tanzania na sitofanya jaribio la kuikimbia milele daima.
Nchi Yangu Tanzania,
Nakupenda Kwa Moyo Wotee..
Mbona hata hapa nyumban tumekuwa watumwa?Wakati naandika Thesis miaka ya nyuma moja ya kitu niliigusia ilikuwa ni Neo-colonialism. Watu weusi tunaangamia kwa kukosa maarifa. Miaka ya 1800s watumwa walikuwa wanachukuliwa kwa nguvu na kwenda kuuzwa ...2017 watumwa wanatafuta Visa na kujilipia nauli kwenda kujisalimisha utumwani. Hongera mkuu kwa kupata haki yako uliyoipigania miaka kibao ya kuwa "Mtumwa wa Kudumu" Ughaibuni.