Hongera sana best, ukirudi home nistue uje Kwamtogole nitakuandalia vitumbua si sawa na Danish pastries.
Hizo ni kazi ambazo huhitaji karatasi kufanya, atakuwa mjinga kama ataendelea kufanya kazi zile zile wakati sasa ana residence card. Sasa afanye maendeleo, ajiendeleze kielimu na kiuchumi kwa Kazi za maana za kipato cha juuKwenye mgao wa Noah utakuwepo?
Btw mkuu piga kazi, kama ni kuosha vyombo osha sana, kama ni kufua fua sana na kunyoosha, kama ni kupiga deki wewe deki hata ghorofa zima, kama ni kusugua masufuria sugua sana ndugu na kama ni kufanya kazi zako za kitaaluma piga kazi.
Huku kwetu bongo tuache tu tuparangane na hawa wanasiasa wetu. Leo wako hivi kesho wako vile. Ukichoka huko rudi tuparangane huku.
Hongera sana ndugu.
hahaha ntakuja kukuktembelea. Ngoja na mimi nianze kukinga benefitsHongera sana best, ukirudi home nistue uje Kwamtogole nitakuandalia vitumbua si sawa na Danish pastry.
Kumbe ulikuwa na usomgo nazo besthahaha ntakuja kukuktembelea. Ngoja na mimi nianze kukinga benefits
TANZANIA CHINI YA YA HIKI CHAMA SIYO NCHI YA KUJIVUNIA.Yooote tisa hakuna kama kama Tz
Nishatembea na kuishi sehem kibao lkn
EAST&WEST
TANZANIA IS THE
BEST[emoji1549]