baada ya kipindi kirefu kuwa na swali ambalo halijibiki kirahisi, kwamba ni nani atakuwa umbavu wangu kwaza yukoje? Je atafanana kweli na mke ambaye yumo kwenye fikra zangu.
ilikuwa tarehe 4 march majibu hayo yakajiba yote.
Namshukuru sana Mungu,
Kwa hyo viluka njia wote wa JF musisumbue kabsa Inbox yangu
Sent Using Kapembe Kambuzi Mobile App