Hata dude haniamshii haiseehahaha naimagine ndo huby anaandika namna hii hahahahhahaa fukuzia mbali kwelikweli
We ni mtabiri, jamaa kashakimbiwaWe hujapata wewe na ungekuwa umepata usinge toa pov la omo kias hiki
...And I can’t quit...
Jamani nyie watu wabayaYan muandiko wako unatosha kujielezea we we Niwanamna gan ...na uliye mpata kwel Ni umbavu cku akibadilika kuwa ubavu ..upambane na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sisi wote alituita viruka njiaWe ni mtabiri, jamaa kashakimbiwa
baada ya kipindi kirefu kuwa na swali ambalo halijibiki kirahisi, kwamba ni nani atakuwa umbavu wangu kwaza yukoje? Je atafanana kweli na mke ambaye yumo kwenye fikra zangu.
ilikuwa tarehe 4 march majibu hayo yakajiba yote.
Namshukuru sana Mungu,
Kwa hyo viluka njia wote wa JF musisumbue kabsa Inbox yangu
Sent Using Kapembe Kambuzi Mobile App
Viruka njia tunaulizabaada ya kipindi kirefu kuwa na swali ambalo halijibiki kirahisi, kwamba ni nani atakuwa umbavu wangu kwaza yukoje? Je atafanana kweli na mke ambaye yumo kwenye fikra zangu.
ilikuwa tarehe 4 march majibu hayo yakajiba yote.
Namshukuru sana Mungu,
Kwa hyo viluka njia wote wa JF musisumbue kabsa Inbox yangu
Sent Using Kapembe Kambuzi Mobile App
Upo kweli 🤔🤔🤔hebu rudi uandike fresh!hiv kuna demu amewah kukufata pm eh? unabahat sana