wewe ni jinsia gani ?
baada ya kipindi kirefu kuwa na swali ambalo halijibiki kirahisi, kwamba ni nani atakuwa umbavu wangu kwaza yukoje? Je atafanana kweli na mke ambaye yumo kwenye fikra zangu.
ilikuwa tarehe 4 march majibu hayo yakajiba yote.
Namshukuru sana Mungu,
Kwa hyo viluka njia wote wa JF musisumbue kabsa Inbox yangu
Sent Using Kapembe Kambuzi Mobile App
labda anaota pm.sidhani kama pm yake ishawai kupokea hata ujumbe mmoja hilo nina hakikahahaha kwanza andika yake tu majanga sijui kilaza gan amfate pm!eti UMBAVU hahahahah!
huyo ni multi-genderwewe ni jinsia gani ?
labda anaota pm.sidhani kama pm yake ishawai kupokea hata ujumbe mmoja hilo nina hakika
Hahahahaa mtuhurumie tu sisi wanaume miandiko yetu sio aiseehahaha naimagine ndo huby anaandika namna hii hahahahhahaa fukuzia mbali kwelikweli
Hahaha unapoteza bahati ujue, watu wanaoandikaga hivyo ndo husband material na wanakuaga na pesa sasa.hahaha naimagine ndo huby anaandika namna hii hahahahhahaa fukuzia mbali kwelikweli
Hahaha unapoteza bahati ujue, watu wanaoandikaga hivyo ndo husband material na wanakuaga na pesa sasa.
Mhurumieni jamani mayumnambitiyazaopps huhu huend kuna ka ukweli namuomba msamaha mtoa mada nimfate walau pm tu! teh
Mhurumieni jamani mayumnambitiyaza
Makandila
Hahahaaa viluka na musisumbuehahaha kwanza andika yake tu majanga sijui kilaza gan amfate pm!eti UMBAVU hahahahah!