Hatimaye nimejikuta nampenda mwingine....

Meridah Tough

Senior Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
136
Reaction score
365
Hello Jf ?
Muda mwingi nilijikuta nikilia sana kwa ajili ya ex wangu ambaye tumedumu kwa miaka zaidi ya mitatu.
Nilishindwa kumove on kwa muda mrefu. Nikijiuliza naanzia wapi ? Huyu ninayekutana naye atakuaje ? Nk.
Lakini Mungu ni mwema sana. From no where niliacha kumtext my ex kuomba misamaha ya kijinga.
Baada ya mateso na dharau zake za muda mrefu, akipata shida anitafute nikimsaidia aniblock, moyo wangu umegeuka kwa kijana mstaarabu na anayeonyesha kunipenda na kunithamini sana. Ananisikiliza na kunipa attention sana.
I am so happy wanafamilia wenzangu. Ex wangu ameniomba msamaha lakini nimemjibu ninachotaka ni yeye awe mbali na mimi. Mama yake alikuja kuongea nami juu ya kusamehe. Sitaki kurudi nyuma.
Wanawake na wasichana wenzangu mnaopitia maisha ya kunyanyasika kwa wanaume mkiogopa kuachika, let it go. Usikubali kuteseka kwa ajili ya huyo mtu. Kama ni wakwako na umepangiwa kuwa naye itakuja yenyewe automatically. Do not waste your energy kumganda mtu ambaye anaweza kufa kesho.
Be happy. Tengeneza furaha yako. Jipende. Mwenzenu nilianza kuzeeka kisa ex. Kulia, kutokula vizuri nk. But now nimerudi kuwa kijana. Kwa kuwa sitegemei furaha yangu toka kwa mtu.
Ingawa nampenda my new bae but akipenda kuondoka, l will let it go.
Thank you very much.
 
Hongera sana.
 
did you hear yourself''moyo wangu umegeuka kwa kijana mstaarabu na anayeonyesha kunipenda na kunithamini sana. Ananisikiliza na kunipa attention sana'' kila mahusiano yana hii stage my dear sister...be carefully out there with the ''new bae''
 
Hello Jf ?
Muda mwingi nilijikuta nikilia sana kwa ajili ya ex wangu ambaye tumedumu kwa miaka zaidi ya mitatu.
Nilishindwa kumove on kwa muda mrefu. Nikijiuliza naanzia wapi ? Huyu ninayekutana naye atakuaje ? Nk.
Lakini Mungu ni mwema sana. From no where niliacha kumtext my ex kuomba misamaha ya kijinga.
Baada ya mateso na dharau zake za muda mrefu, akipata shida anitafute nikimsaidia aniblock, moyo wangu umegeuka kwa kijana mstaarabu na anayeonyesha kunipenda na kunithamini sana. Ananisikiliza na kunipa attention sana.
I am so happy wanafamilia wenzangu. Ex wangu ameniomba msamaha lakini nimemjibu ninachotaka ni yeye awe mbali na mimi. Mama yake alikuja kuongea nami juu ya kusamehe. Sitaki kurudi nyuma.
Wanawake na wasichana wenzangu mnaopitia maisha ya kunyanyasika kwa wanaume mkiogopa kuachika, let it go. Usikubali kuteseka kwa ajili ya huyo mtu. Kama ni wakwako na umepangiwa kuwa naye itakuja yenyewe automatically. Do not waste your energy kumganda mtu ambaye anaweza kufa kesho.
Be happy. Tengeneza furaha yako. Jipende. Mwenzenu nilianza kuzeeka kisa ex. Kulia, kutokula vizuri nk. But now nimerudi kuwa kijana. Kwa kuwa sitegemei furaha yangu toka kwa mtu.
Ingawa nampenda my new bae but akipenda kuondoka, l will let it go.
Thank you very much.
uache na umalaya
 
Nachoamini tayari una DNA ya uliyeachana naye, na ulimpenda sanaaaa,,
.
Sasa huyu mpya ikaja ukagundua kuwa huwa anapasha kiporo kwa ex wake,,

Tunza akiba ya maneno,, bado ungali kijana uzee bado,
 
Bado ni asubuhi na mapema, ngoja na huyu new bae akuvuruge ndio utajua mapenzi yana kitu fulani ambacho mimi na wewe hatukijui. Let it go kuna muda haikai vizuri kwenye ubongo...
 
Nachoamini tayari una DNA ya uliyeachana naye, na ulimpenda sanaaaa,,
.
Sasa huyu mpya ikaja ukagundua kuwa huwa anapasha kiporo kwa ex wake,,

Tunza akiba ya maneno,, bado ungali kijana uzee bado,
Huyu si malaika. Lolote laweza kutokea. Lakini kurudi kule, hapana.
 
Back
Top Bottom