Si kila thread lazima uchangie mazee, kama unaona "so what" cha kufanya ni kuipotezea thread tu. Hapa wenyewe washabiki wa series watapost, inaonekana umeingilia fani isiyo yako.
Dah! Kiranga naona ushaniuzia tayari hii series...to be honest, wala sikuwa na mpango wa kuitafuta lakini nilivyoona hata braza Baraka ndani...nisije nikapitwa! Isije ikatokea siku kukawa na get together party ya "House of Cards" fans pale The Executive Mansion nami nikaikosa!! Nimei-google hapa, ishaanza kunivutia coz' nahusudu sana hizi political drama/thriller.Umedata.
Simiyu mtatumia mtandao wa Gambosh naona 🙂
Huku mpaka Obama anaifagilia "House of Cards". Ame tweet "No spoilers, please"
Dah! Kiranga naona ushaniuzia tayari hii series...to be honest, wala sikuwa na mpango wa kuitafuta lakini nilivyoona hata braza Baraka ndani...nisije nikapitwa! Isije ikatokea siku kukawa na get together party ya "House of Cards" fans pale The Executive Mansion nami nikaikosa!! Nimei-google hapa, ishaanza kunivutia coz' nahusudu sana hizi political drama/thriller.
Hapo kwenye RED ndipo hasa nilitaka kukuuliza manake, mie mambo ya kusubiria huwa inanikata stimu to the point ikiwa new season inatoka basi huwa naisubiria hadi iishe ili nipate complete season.Nipo kwenye episode ya 6 kati ya 26 sasa, uzuri wa Netflix streaming unaweza kuangalia zote mfululizo, hamna habari za kusubiri mpaka wiki ijayo. Ni wewe na mtandao wako tu.
It's very interesting. Season 1 ipo kwenye Bluray/ DVD. Season 2 haija disappoint so far (no spoilers as Obama said).
Hapa sasa hivi niko katika a short break nasikiliza ma oldies goldies kutoka a Lombardy station na kujibu JF posts, halafu nitarudi kuangalia a few more episodes. Sochi will just have to excuse me.
Hapo kwenye RED ndipo hasa nilitaka kukuuliza manake, mie mambo ya kusubiria huwa inanikata stimu to the point ikiwa new season inatoka basi huwa naisubiria hadi iishe ili nipate complete season.
Kupata series uliyoipenda ni raha sana. Furahia.
Mimi nasubiri season two ya "House of Cards" itapatikana kuanzia February 14 Netflix.
Let the weekend binge watching begin.
Haya faidi wewe mkuu manake hapa Kibera hatuna Netflix. Streaming hapa ni kama ndoto manake japo Vulu hupati. Nitaisubiri kwenye DVD ili ninunue package yenye episodes zote. Hiyo ndio Kibera yetu
Watuq wana stream mpaka kwenye Safari.com , wewe tu. Usisingizie Kibera.
The good news ni kuwa Comcast wana mpango wa kuingia Kenya next year
Ayisi Makatiani ameishia wapi?
Hivi mnaojua mtujuze series kama isidingo mtu anaweza kupata zile zilizokwishapita? -i am interested
Amekuwa board member wa makorokocho mengi mara sijui KQ mara africa online etc
Sisi watu wa Kibera tuko out of reach na corporate Kenya