Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 205
Na ili tumtoe kabisa mkoloni CCM inabidi kuendeleza mshikamano huo. Baada ya kuona dalili za mwisho wa utawala wake, mkoloni CCM ameanza kupenyeza watu wa kutugawa kwa makundi ya kidini, ujana nk. Tukatae hila hizi chafu ili 2015 tumzike mkoloni huyu na vijibwa vyake.Jana tumeshudia serikali ikisalimu amri kuwa itarudisha sheria gereji ili ifanyiwe marekebisho na kuafiki na kilio cha wachngiaji wamifuko ya hifadhi ya jamii juu ya fao la kujitoa. Nimeona tena nguvu ya umma ikishinda. Wachangiaji bila kujali itikadi, dini wadhifa na tofauti nyingine walijitokeza kupinga sheria hii na mwisho tumeshinda mpaka hatua hii na tunaamini hii ni mpaka watakaporidhia kufanya marekebisho tunayaoyataka.
Kumbe tukiamua tunaweza japo wako waliokosoa uelewa wetu wa dhana ya mifuko ya hifadhi ya jamii - tunawasamehe tunajua walikuwa wanaganga njaa kwa kutetea kila kilichopita kama sheria hata baada ya kuona hakifai. Tujifunze katika hili wenye sheria ni sisi na zipo kwa ajili yetu na siyo sisi kwa ajili ya sheria
Nawasilisha
fashisti nduli serikali ameshindwa. Tuendeleze mshikamano. Hawa wameingia woga pia baada ya kuona kina mnyika wanakusanya signature maofisinihatuna serikali wa bunge, wote ni wasanii 2 hawa. Ilikuwaje ukapelekwa bungeni na ulipitaje mswaada kandamizi bungeni? Ikifika wakati wa kuomba kura wajibu haya maswali, wezi wakubwa hawa
Hifadhi za jamii za nchi zilizoendelea tofauti na huku kwetu,cha kushangaza ssra wanacopy nje wanakuja kupaste huku kwetu,tena wanapaste vipengele vinavyomnyonya mtanzania(withdrawal benefits) huku wakivi-delete vile vinavyomfaidisha mtanzania(unemployment benefits) huu ni ujinga,sheria sio msaafu wala biblia kusema kwamba haibadiliki,wamefanya kosa tumewasamehe ila msije kurudia ujinga huu tena!!
Jana tumeshudia serikali ikisalimu amri kuwa itarudisha sheria gereji ili ifanyiwe marekebisho na kuafiki na kilio cha wachngiaji wamifuko ya hifadhi ya jamii juu ya fao la kujitoa. Nimeona tena nguvu ya umma ikishinda. Wachangiaji bila kujali itikadi, dini wadhifa na tofauti nyingine walijitokeza kupinga sheria hii na mwisho tumeshinda mpaka hatua hii na tunaamini hii ni mpaka watakaporidhia kufanya marekebisho tunayaoyataka.
Kumbe tukiamua tunaweza japo wako waliokosoa uelewa wetu wa dhana ya mifuko ya hifadhi ya jamii - tunawasamehe tunajua walikuwa wanaganga njaa kwa kutetea kila kilichopita kama sheria hata baada ya kuona hakifai. Tujifunze katika hili wenye sheria ni sisi na zipo kwa ajili yetu na siyo sisi kwa ajili ya sheria
Nawasilisha
DHULUMA haiwezi kushinda HAKI, wala SHETANI hawezi kumshinda MUNGU (Lema, 2011).Dhalimu wameshindwa

Nakishauri kile kidada kijiuzulu tu, manake kimeshaprove failure kuongoza SSRA..
Wataanzisha ujambazi mwingine, subirini dk chache
Hatuna Serikali wa Bunge, wote ni wasanii 2 hawa. ilikuwaje ukapelekwa bungeni na ulipitaje mswaada kandamizi bungeni? Ikifika wakati wa kuomba kura wajibu haya maswali, wezi wakubwa hawa