Hatimaye nguvu ya umma wa wachangiaji washinda sakata la mifuko ya pension | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye nguvu ya umma wa wachangiaji washinda sakata la mifuko ya pension

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungurampole, Aug 8, 2012.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jana tumeshudia serikali ikisalimu amri kuwa itarudisha sheria gereji ili ifanyiwe marekebisho na kuafiki na kilio cha wachngiaji wamifuko ya hifadhi ya jamii juu ya fao la kujitoa. Nimeona tena nguvu ya umma ikishinda. Wachangiaji bila kujali itikadi, dini wadhifa na tofauti nyingine walijitokeza kupinga sheria hii na mwisho tumeshinda mpaka hatua hii na tunaamini hii ni mpaka watakaporidhia kufanya marekebisho tunayaoyataka.

  Kumbe tukiamua tunaweza japo wako waliokosoa uelewa wetu wa dhana ya mifuko ya hifadhi ya jamii - tunawasamehe tunajua walikuwa wanaganga njaa kwa kutetea kila kilichopita kama sheria hata baada ya kuona hakifai. Tujifunze katika hili wenye sheria ni sisi na zipo kwa ajili yetu na siyo sisi kwa ajili ya sheria

  Nawasilisha
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Na ili tumtoe kabisa mkoloni CCM inabidi kuendeleza mshikamano huo. Baada ya kuona dalili za mwisho wa utawala wake, mkoloni CCM ameanza kupenyeza watu wa kutugawa kwa makundi ya kidini, ujana nk. Tukatae hila hizi chafu ili 2015 tumzike mkoloni huyu na vijibwa vyake.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hifadhi za jamii za nchi zilizoendelea tofauti na huku kwetu,cha kushangaza ssra wanacopy nje wanakuja kupaste huku kwetu,tena wanapaste vipengele vinavyomnyonya mtanzania(withdrawal benefits) huku wakivi-delete vile vinavyomfaidisha mtanzania(unemployment benefits) huu ni ujinga,sheria sio msaafu wala biblia kusema kwamba haibadiliki,wamefanya kosa tumewasamehe ila msije kurudia ujinga huu tena!!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Dhalimu wameshindwa
   
 5. m

  manucho JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wataanzisha ujambazi mwingine, subirini dk chache
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nakishauri kile kidada kijiuzulu tu, manake kimeshaprove failure kuongoza SSRA..
   
 7. B

  Bob G JF Bronze Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hatuna Serikali wa Bunge, wote ni wasanii 2 hawa. ilikuwaje ukapelekwa bungeni na ulipitaje mswaada kandamizi bungeni? Ikifika wakati wa kuomba kura wajibu haya maswali, wezi wakubwa hawa
   
 8. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  fashisti nduli serikali ameshindwa. Tuendeleze mshikamano. Hawa wameingia woga pia baada ya kuona kina mnyika wanakusanya signature maofisini
   
 9. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  mkuu hawa jamaa usiwape kauli za kuwasamehe kirahisirahisi hivyo. wameshatunyanyasa mno hawa, sehemu za migodini kule Mara binadamu na mifugo tunadhurika na makemikali ya migodini, tukiwaambia wanaanza kutudhihaki. in-short hawa magamba wameshatusulubu vya kutosha hasa hizi awamu za pili, tatu na nne. yaani ni wadhulumaji na wanyang'anyi wa mchana kweupe. wanajijari wao tu na washikaji zao. hawa sio watu wa kusamehe kirahisi. tuwatoe kwanza madarakani halafu ndio tufikirie kuwasamehe.
   
 10. muhogomtamu

  muhogomtamu JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 412
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu Sungurampole! Naunga mkono hoja asilimia zaidi ya 100
   
 11. muhogomtamu

  muhogomtamu JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 412
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  DHULUMA haiwezi kushinda HAKI, wala SHETANI hawezi kumshinda MUNGU (Lema, 2011).
   
 12. N

  Nguto JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  The people can decide if they want!!!
   
 13. M

  MTK JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Barbs to Irene Kissaka and Kudos to the masses revolutionary solidarity; We had nothing to loose But chains and shackles!
  The SSRA chief has miserably failed the first test of public confidence, we have to keep her in our sights lest she tries another scheme because her masters are still the same; crafty and demonic! The writting is on the wall Irene, we are watching!
   
 14. m

  malaka JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sasa hivi nguvu zote watazipeleka kwenye vita. Utaambiwa hela nyingi imetumika kupigani mpaka kule Malawi. Ili mradi tu... Kwani wanashindwa nini kuweka maelewano kwanza kabla ya kusonga mbele?
   
 15. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Huwenda kalipata hicho cheo kwa kufunua malinda! Hela yetu inauma-Watulipe tusepe!
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Washaanzisha si umeona stika imepanda kwa 1406% yani kutoka sh3000 mpaka sh40000! Huu ni wizi mchana kweupeee!
   
 17. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kale kadada kama sio kachawi basi kakaha** maana huwezi kuwa na roho mbaya vile
   
 18. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Shame kwa Irene na watu wote walionyuma ya huo ufisadi. Hawafai kuliko tafsiri yoyote inayoweza kutumika.
   
 19. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bob wewe ni mgeni na bunge letu na jinsi wingi wa wabunge unavyotumika vibaya kupitisha miswaada hata ile ya hovyo?
   
 20. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Tukiamua tunaweza!!!Sasa hivi ni wakati wa Akili Kubwa,kuongoza Akili Ndogo!!!
   
Loading...