Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,175
View attachment 85140View attachment 85141View attachment 85142
Wabongo wengine bwana tumeambiwa ndege mbovu tukashushwa cha ajabu mwazo lowasa hakuwepo saizi napanda namkuta kwenye ndege tena jirani yangu mbele kabisa.sasa si wangesema jamaa kachelewa so wanamsubiri...heal tanzania

Kamanda ni Mwanza watu tumeingia kwenye ndege tunajua tunapaa,Jamaa wakatangaza kuna hitilafu ya kiufundi tukashuka.Mara wakatutangazia imetengemaa kupanda si ndio nikakutana na kipara cheupe pee kumkaribia kumbe ni Jamaa(Gambazzz) na ukiniuliza amepitia wapi hata sijui.ufisadi mpaka kwenye usafiri??Au ni ya kwao mkuu?Rural Swagga Hebu funguka vizuri! Ni kwamba ndege haikuwa mbovu ila walikuwa wanamsubiri EL?
Na baada ya kufika EL ndege iliondoka?
Hebu tuhabarishe vema Kamanda wetu!
mmecheleweshwa muda gani?
...huo muda waliowachelewesha tafsiri yake nyepesi ni kuwa ndivyo wamachelewesha maendeleo ya nchi (wananchi/abiria)
Mbona ndege kama daladala la kwenda Gongo la Mboto au Mbagala?
Watu full kusimama.
Watanzania hawajui mbinu za kibiashara,
ni hatari sana kuwatangazia wateja wako kuwa ndege yako ni mbovu ilhali ni nzima.
Utajikuta unapoteza wateja na ndege zako zikaambulkia kupewa jina la mkweche wakati ni mpyaaaaaa uliziiingiza juzi kwa mbwembwe kutoka Ufaransa
...ni kweli Mkuu kwani kipindi kile jamaa akiwa PM, aliwahi ifuta "Haki Elimu"...wanamjua jamaa ni mtu wa "kisasi" kama MKULU!!!wanaogopa akiwa rais anaweza futa shirika hah ahhhaaa ahhhhaaaaaaaaaaaa w.end njema!
Fast Jet wako mbioni kuongeza ndege nyingineUtakimbilia wapi ndege zenyewe chache. Wanajua demand ni kubwa kuliko supply.
View attachment 85140View attachment 85141View attachment 85142
Wabongo wengine bwana tumeambiwa ndege mbovu tukashushwa cha ajabu mwazo lowasa hakuwepo saizi napanda namkuta kwenye ndege tena jirani yangu mbele kabisa.sasa si wangesema jamaa kachelewa so wanamsubiri...heal tanzania
Poleni sana siasa mpaka kwenye mambo ya usafili waliogopa nini kusema mh,kachelewa ijulikane tu.Sasa mbona tumejua kumbe nae kwenda na mda tatizo au foleni....
mkuu huyu siyo mheshimiwa tena acha kumpendelea!!!