kweli kabisanikiangalia zile video wanazochinjana huwa nawaza sana wana akili za aina gani jinsi balimi na papuche zilivyotamu nikahangaike kujivalisha mabom kikiki
Makafiri na mazombie=Binadamumakafir wamemuua shujaaa.................R.I.P
NA YEYE NI ISIS..................?hii ni habari mbaya sana kwa FaizaFoxy
Mkuu si uende kibitiKafiri msidhani mmeshinda,sisi tunapenda kufa kuliko kuishi
Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maarabu bwana yanachezewa akili na wayahudi yanakubali yanauwana yenyewe kwa yenyewe, na Siku maarabu yakipata akili ni nwisho wa dunia....Kafa? Au kashamaliza lengo wamemrudisha ofisi za mossad sasa kwa ajili ya mission nyengine? Mana nasikia harufu supu kama ya Qatar ivi..... mara hii watambadilisha sura na jina watamwita Abu Bakr Al Doha 😀
Sasa unasubiri nn si ufe uwahi unachelewa hizo bikira wenzio wanazimaliza, eti twapenda kufa huku ukiugua unawahi hospital, ujinga ni mzigo, tena mkifa ndo sawa waovu Mpungue.Kafiri msidhani mmeshinda,sisi tunapenda kufa kuliko kuishi
Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app
Hivi nani ni kafir mkubwa kama si wana ISIS ??!! Majitu yanayohusudu sheria za karne ya sita zama za mawe. Hiyo imani ni ya kishetwaniKafiri msidhani mmeshinda,sisi tunapenda kufa kuliko kuishi
Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app