sijapenda conclusion ya rais wa mbeya, who will pay for lives of 9 people of republic of mbeya? ile torture waliyoipata toka kwa polisi ni nani anawajibishwa? kurudi kwenye biashara wakati neno la mpuuzi mmoja limewagharimu uhai na utulivu raia wa jamhuri ya mbeya haitoshi... nadhani kuna mtu anatakiwa apoteze madaraka plus mashtaka juu, tena ya uuaji! nani aliyeamuru matumizi ya risasi za moto kwa waandamanaji waliokuwa na chupa za maji tu? sijaridhika! h.e. head of state, hon. dr. joseph mbilinyi and his cabinet should review their decision to calm down mbeyans by just kuwarudisha kwenye eneo la biashara! o mama!
Baada ya vurugu za wamachinga wakidai haki zao za msingi na wakitoa shinikizo kuwa hawataki kuongea na mtu mwingine yoyote zaidi ya rais wao sugu.wakidai kuwa hali itarejea ikiwa haya yafuatayo yatatekelezwa
1. Waakikishie kuendelea kufanya biashara katika maeneo yao.
2. Wenzao wote walioshikiliwa na polisi waachiwe bila masharti
3. Wote waliopo hospitali kutokana na majera ya vurugu hizo wapatie matibabu ya hali ya juu.
Baada ya kikao kilichofanyika kati ya sugu na serikali ya mkoa. Kandoro amekubali kutekeleza masharti yote matatu na wamachinga wanarejea katika maeneo yao. Kwasasa sugu anaongea na wapiga kura wake wanamshangilia mbaya.
Big up sugu wapiga kuwa wako wamekupa heshima kubwa sana na hii ni salamu kwa serikali kuwa nguvu ya dola haishindi nguvu ya umma.
Li serikali kama la mazezeta vile. Haya majadiliano kama wangefanya kabla ya mapigano si ingeepusha shari? Wanasubiri wauwe kwanza halafu ndo wanafanya majadiliano? Wapuuzi wakubwa.[ tena sa mapumbafuu sana]
Li serikali kama la mazezeta vile. Haya majadiliano kama wangefanya kabla ya mapigano si ingeepusha shari? Wanasubiri wauwe kwanza halafu ndo wanafanya majadiliano? Wapuuzi wakubwa.
tisa ndugu wamepoteza maisha.tujuze ndugu yangu wameua wangapi????poleni jamani MUNGU awatie nguvu kwenye huu wakati mgumu
Two lesson I learnt from last week scenerio. kwanza, our police forces doesnt know the means to solve community problemssecond we dont have medias in Tz, coverage ya matukio ya mbeya na arusha is not the reality, thanks for JF member who introduced us to MBEYA YETU. Blogspot thats where everything have been revealed, yaani kila kitu kimeonekana humo. my suggestion ni kwamba either iingie unbias media ili ilete habari halisia za mambo ya Tanzania pia kuwe na blog nyingi karibu kila mkoa ili habari zionekane kwa uhalisia. I was shocked when I saw Mbeya incidence through that blog, kweli wa Tanzania tunafichwa mengi.
Wananchi wa Mbeya kweli wamechanganyikiwa. Sugu kweli wameamua kumtambua kama raisi wao!!!......
Kamanda Sugu walikuita muhuni, sasa wanashangaa muhuni kusikizwa kuliko hao wanaojiita waungwana
Mkong'oto ulishawatuliza zamaani. Sugu kapata pakutokea.