Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,454
25,372
Hatimaye mzee wa USA Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members wa JF pia kuna uwezekano hata ile title ya Platinum member nayo amenyang'anywa .


Pia kuna uwezekano mkubwa hata akawa amepata permanent ban hivyo nawapa pole wafuasi wote wa Nyani Ngabu kuna uwezekano msimuone tena humu jukwaani au hata mkimuona atakuwa hana zile mbwembwe zake maana mods wamemfuta kabisa kwenye wale notable member na cheo chake cha uplatnum nacho wamenyang'anya

Screenshot_2017-05-20-15-56-48_1.jpg
hapa kabla ya Mshana Jr alikuwa Nyani Ngabu yaani namaanisha kwenye list ilikuwa akitoka Rutashubanyuna alikuwa anafata Nyani ngabu ila wamemfuta kwenye list ndo ameonekana mshana jr

Screenshot_2017-05-19-17-49-08_1.jpg
Angalia list hii na hiyo ya juu

Screenshot_2017-05-20-16-01-29.png
hii list ya most likes ilikuwa akitoka mkwepa kodi anafata Nyani Ngabu ila baada ya kulambwa permanent ban na kuvuliwa u member ndo hivyo haonekani tena


Ha ha ha ha ama kweli mods wa JF si wamchezo mchezo ,


Na hili ni onyo kwa watumiaji wa mtandao huu wote mjitahidi kadri mnavyoweza kutumia lugha nzuri maana inaonekana jamaa kuna kitu amekifanya mpaka mods wakakwazika na kumfanyia walichomfanyia
 
Back
Top Bottom