Hatimaye Kiiza Besigye atoroka Uganda

Viongozi wa kiafrika taabu sana, akili ya kuongoza hawana lakini bado wanang'ang'ania kukaa madarakani kwa muda mrefu.
UNA WAZIMU HUYO ANAYETAKA KUWA KIONGOZI ANATOKEA BARA GANI ACHA ULIMBUKENI
 
Kaguta anapiga jembe siku hizi, anaendesha baiskeli kwenda na kurudi shambani.

Huyu bila aibu ameifanya nchi mali yake, uliona ile BBC clip anahojiwa kuwa huchoki kutumikia ofisi miaka yote hii, anajibu sichoki kwasababu ninatumikia ofisi kwaajili ya wanangu na wajukuu zangu.
 
huyu jamaa simpendi kabisa
 
Huyu bila aibu ameifanya nchi mali yake, uliona ile BBC clip anahojiwa kuwa huchoki kutumikia ofisi miaka yote hii, anajibu sichoki kwasababu ninatumikia ofisi kwaajili ya wanangu na wajukuu zangu.
Hebu iweke hiyo clip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…