Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,587
- 28,750
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye ameitoroka nchi yake. Hayo ameyathibitisha mwenyewe kwenye mtandao wa twitter kuwa ameondoka nchini humo.
Kwa mujibu wa Kizza Besigye akinukuliwa na gazeti la Daily Monitor Jumatatu wiki hii kuwa, aliamua kufuta safari yake kwenda nchini Afrika Kusini siku ya Jumanne kufuatia hatua ya polisi ya kuweka kizuizi nje ya nyumba yake.
"Am now checked-in for my Nairobi flight. Police Offr this morning said I won't go anywhere. We fly & we shall overcome by defiance!! "
Serikali imekua ikijaribu kumzuia ili asiondoki bila mafanikio, amesema Bw. Besigye.
Hata hivyo msemaji wa polisi alikanusha madai hayo, akisema kuwa ni mbinu za Kizza Besigye kutaka kuonyesha kuwa hatendewi haki wakati sivyo.
Kizza Besigye anatarajiwa kuhutubia mkutano wa tume ya kimataifa ya mawakili mjini Johannesburg siku ya Alhamisi.
Source: RFI
Kwa nini aelekee London mkuu??Piga ua lazima safari yake itaishia London, Uingereza!
Trump washamuhujumu yule, hawezi penya.Trump akija mseveni ajiondokee mwenyewe
teh teh teh mkuu unawachukia sana Wazungu, kama unavyowachukia Wakenya.Kwa Colonial master!
Kinachonishangaza ni kwa nini Kaguta alikuwa hataki kabisa jamaa asitoke nje ya nchi.Huyu jamaa anamkosesha usingizi Kaguta.
Keep your friends close and your enemies closer. Hajui atafanya nini akiwa mbali ya upeo wa macho yake, jamaa ana support kubwa internationally.Kinachonishangaza ni kwa nini Kaguta alikuwa hataki kabisa jamaa asitoke nje ya nchi.
Wale jamaa waliokuwa na wajibu wa kumzuia asitoke saa kazi kwao!Kinachonishangaza ni kwa nini Kaguta alikuwa hataki kabisa jamaa asitoke nje ya nchi.
Anaenda kuungana na Joseph Konyi poriniPiga ua lazima safari yake itaishia London, Uingereza!
Keep your friends close and your enemies closer. Hajui atafanya nini akiwa mbali ya upeo wa macho yake, jamaa ana support kubwa ya internationally.
Ninasikia hata ukiwa nje ya Uganda, mkiweka kikao cha kumuongelea Kaguta, siku unarudi usalama wanakudaka airport, Kaguta mwenyewe ni usalama.Nakumbuka miaka ya karibuni PK alikua anawafwatia huko huko mafichoni anamalizana nao kabla hawajaleta madhara kwa system yake sasa huyu bwana kiza awe mwagalifu isejekua kama final destination mana sirikali ina mkono mrefu
Ninasikia hata ukiwa nje ya Uganda, mkiweka kikao cha kumuongelea Kaguta, siku unarudi usalama wanakudaka airport, Kaguta mwenyewe ni usalama.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahah ina mana hata jf member tukitua entebe tunatiwa korokoroni [emoji23][emoji23][emoji23]
Piga ua lazima safari yake itaishia London, Uingereza!
nani kamhujumu,kivipi?Trump washamuhujumu yule, hawezi penya.