BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
Nakumbuka niliachana nae mwaka jana......hii ilikuwa ni baada ya yeye kuanza dharau na kiburi(yote haya n kwakuwa alipata mtu alomzuzua na kunisahau) na pia n kwakuwa sikuwa na hela wala kazi(vyuma vimekaza...kazi hamna na ndo kwanza nimemaliza chuo)
Sikuona shida maana mimi kufanya maamuzi magum sijaanzia kwake....japo nilimpenda saaana.....nlijitoa sana kw aajili yake....kila nilipoenda sehem ilikuw lazima nirudi na zawad yake.....ikabidi niachie ngazi na kuachana nae
Baada ya kuachana nae nlielekeza juhudi katika kutafuta maisha...na nilimuomba sana Mungu anipe pesa.....japo niliachana nae ila kuna kpindi nilimtafta nkamuambia jinsi nimpendavyo jibu alonipa ni "asante....kuumia ni uamuzi"
Hapo ndipo aliponitia hasira zaidi.....nkakazana saana kwenye biashara....nilifanya biashara bila kupumzika....sikuwa na jpil...mda wote n kazi
Namshukuru Mungu now biashara imesimama.....nmeongeza bidhaa kibao kwenye biashara....plus pia nmechukua rum kabsaa na mazaga kbao rum
Sasa kuna siku rafiki yangu alipiga pcha rum yangu akapost mtandaoni na kunipa hongera...!!baada ya hapo ndo usumbufu umeanza
Yule girl ameanza kutuma text....hua namjibu then nampotezea....but atarudia tena....nami namjib hlf napotezea.....!but atatuma tena text...!!
Sasa je huyu mtu nmfanye nn???...maana kwakweli sitaki kuonekana boya...!!kamwe usiruhusu wakukute pale walipokuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks ndugu...na cna wazo la kuwa nae kabsaaa...!!nd maana hua nampotezea...Mpotezee kama alivyokuchukulia powa.
Wakati unashida alikukimbia.. leo umepata mafanikio ndio anarudi.
Mfukuzie mbali kabisaaaa.
Tena mwambie ile ile kauliyake. "Asante.. kuumia ni kuchagua"
Madem wa hiv ni wa pumbav sana.. huyo yuko after money.. anafuata mali baada ya kuona umepanda ngazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mblock au mwambie aache kukusumbua au mpotezee tu
Mpaka hapo ulipo umesharudiana nae, anatambua fika kuwa unampenda kupita kiasi, na kwa maelezo yako hapo unatafuta tu kisababu kidogo cha kujishikiza utakapokuwa umerudi.Nakumbuka niliachana nae mwaka jana......hii ilikuwa ni baada ya yeye kuanza dharau na kiburi(yote haya n kwakuwa alipata mtu alomzuzua na kunisahau) na pia n kwakuwa sikuwa na hela wala kazi(vyuma vimekaza...kazi hamna na ndo kwanza nimemaliza chuo)
Sikuona shida maana mimi kufanya maamuzi magum sijaanzia kwake....japo nilimpenda saaana.....nlijitoa sana kw aajili yake....kila nilipoenda sehem ilikuw lazima nirudi na zawad yake.....ikabidi niachie ngazi na kuachana nae
Baada ya kuachana nae nlielekeza juhudi katika kutafuta maisha...na nilimuomba sana Mungu anipe pesa.....japo niliachana nae ila kuna kpindi nilimtafta nkamuambia jinsi nimpendavyo jibu alonipa ni "asante....kuumia ni uamuzi"
Hapo ndipo aliponitia hasira zaidi.....nkakazana saana kwenye biashara....nilifanya biashara bila kupumzika....sikuwa na jpil...mda wote n kazi
Namshukuru Mungu now biashara imesimama.....nmeongeza bidhaa kibao kwenye biashara....plus pia nmechukua rum kabsaa na mazaga kbao rum
Sasa kuna siku rafiki yangu alipiga pcha rum yangu akapost mtandaoni na kunipa hongera...!!baada ya hapo ndo usumbufu umeanza
Yule girl ameanza kutuma text....hua namjibu then nampotezea....but atarudia tena....nami namjib hlf napotezea.....!but atatuma tena text...!!
Sasa je huyu mtu nmfanye nn???...maana kwakweli sitaki kuonekana boya...!!kamwe usiruhusu wakukute pale walipokuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu Mjumbe!Mwanamke wako ni mjinga sana yaani kisa chumba kimeonyeshwa mtandaoni umesifiwa ndiyo anataka kurudi?
Hamna kitu hapo mzee, akiona room nyingine kali anakuhama.
Pia siamini kama rafiki yako anaweza kupiga picha chumba chako na kukusifia..... Kama NI KWELI kafanya hivyo huyo siyo rafiki pia, tupa kule.
Ndugu huo ndo uhalisia...but tunajifunza...thanks kwa ushaur mkuuMwanamke wako ni mjinga sana yaani kisa chumba kimeonyeshwa mtandaoni umesifiwa ndiyo anataka kurudi?
Hamna kitu hapo mzee, akiona room nyingine kali anakuhama.
Pia siamini kama rafiki yako anaweza kupiga picha chumba chako na kukusifia..... Kama NI KWELI kafanya hivyo huyo siyo rafiki pia, tupa kule.
Hujaweka picha ya rum mkuu!Nakumbuka niliachana nae mwaka jana......hii ilikuwa ni baada ya yeye kuanza dharau na kiburi(yote haya n kwakuwa alipata mtu alomzuzua na kunisahau) na pia n kwakuwa sikuwa na hela wala kazi(vyuma vimekaza...kazi hamna na ndo kwanza nimemaliza chuo)
Sikuona shida maana mimi kufanya maamuzi magum sijaanzia kwake....japo nilimpenda saaana.....nlijitoa sana kw aajili yake....kila nilipoenda sehem ilikuw lazima nirudi na zawad yake.....ikabidi niachie ngazi na kuachana nae
Baada ya kuachana nae nlielekeza juhudi katika kutafuta maisha...na nilimuomba sana Mungu anipe pesa.....japo niliachana nae ila kuna kpindi nilimtafta nkamuambia jinsi nimpendavyo jibu alonipa ni "asante....kuumia ni uamuzi"
Hapo ndipo aliponitia hasira zaidi.....nkakazana saana kwenye biashara....nilifanya biashara bila kupumzika....sikuwa na jpil...mda wote n kazi
Namshukuru Mungu now biashara imesimama.....nmeongeza bidhaa kibao kwenye biashara....plus pia nmechukua rum kabsaa na mazaga kbao rum
Sasa kuna siku rafiki yangu alipiga pcha rum yangu akapost mtandaoni na kunipa hongera...!!baada ya hapo ndo usumbufu umeanza
Yule girl ameanza kutuma text....hua namjibu then nampotezea....but atarudia tena....nami namjib hlf napotezea.....!but atatuma tena text...!!
Sasa je huyu mtu nmfanye nn???...maana kwakweli sitaki kuonekana boya...!!kamwe usiruhusu wakukute pale walipokuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta wimbo unaitwa "Gambler"
Kuna maneno yanasema, "Every hand is a winner and every hand is a loser, the best you can hope for is to die in your sleep"
The choice is yours
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hii ndo tofauti!
Picha kapiga mwenyewe ili kumfahamisha bibie kwamba naye kwa Sasa mboga saba kifupi kwa huyo bibie wataludiana tu hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Mwanamke wako ni mjinga sana yaani kisa chumba kimeonyeshwa mtandaoni umesifiwa ndiyo anataka kurudi?