Lowasa, na Wasira walitoka nje kwanza. Kwa taarifa nilizonazo Nchemba na Lusinde hawajafika kwenye kikao leo asbh baada ya kusikia kamanda Nasari anaapishwa rasimi.
Mwenye kumbukumbu naomba anisaidie. Katika historia ya bunge la JMT Je ni mbunge gani wa kuchaguliwa (mbunge wa JIMBO) aliwahi kuingia bungeni akiwa na umri mdogo?

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kwamba Umri Mdogo kabisa wa Mtanzania Kugombea Ubunge ni Miaka 21. Kwa Hiyo haijawahi kutokea katika Uchaguzi tukapata Mbunge mwenye Umri wa miaka 21. Ila kwa Sasa walio bungeni Joshua Nasari anaweza kuwa the Youngest