Uwanja wa Mkapa hautumiki kwenye mpira Ila unatumika mashindano ya quraan hapo ndio utaona Mzee Magoma yupo sahihi.
Watu wanafanya maamuzi kwa faida zao binafsi kwa sababu tu wanaweza kukwepa Kodi.
Tz wajinga hawawezi kuisha, suala la mpira sio suala la muungno eboo!!, Zanzibar wana uwakilishi wao CAF. Ni ajabu na upuuzi wa kiwango Cha juu!. Na nikudharau mashabiki na wanachama.