Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,561 Reaction score 272,307 Aug 24, 2024 #1 Timu inayotokea Tanganyika unataka mechi yao ipelekwe Nchi nyingine ili kuzuia mashabiki wa mikoa mingine kuhudhuria kwa faida ya nani?
Timu inayotokea Tanganyika unataka mechi yao ipelekwe Nchi nyingine ili kuzuia mashabiki wa mikoa mingine kuhudhuria kwa faida ya nani?
milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,286 Reaction score 8,414 Aug 24, 2024 #2 Chawa
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,692 Reaction score 6,291 Aug 24, 2024 #3 Msiingize siasa zenu za kichadema na kimuungano kwenye mpira...
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,561 Reaction score 272,307 Aug 24, 2024 Thread starter #4 Ahyan said: Msiingize siasa zenu za kichadema na kimuungano kwenye mpira... Click to expand... Michuano ya Caf ni ya Muungano?
Ahyan said: Msiingize siasa zenu za kichadema na kimuungano kwenye mpira... Click to expand... Michuano ya Caf ni ya Muungano?
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,692 Reaction score 6,291 Aug 24, 2024 #5 Erythrocyte said: Michuano ya Caf ni ya Muungano? Click to expand... vipi kama angesema wataomba iwe kenya ama uganda..?? Hoja ingekuwa nn
Erythrocyte said: Michuano ya Caf ni ya Muungano? Click to expand... vipi kama angesema wataomba iwe kenya ama uganda..?? Hoja ingekuwa nn
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,561 Reaction score 272,307 Aug 24, 2024 Thread starter #6 Ahyan said: vipi kama angesema wataomba iwe kenya ama uganda..?? Hoja ingekuwa nn Click to expand... Sababu za huo ujinga ni zipi? Halafu uliona wapi Timu za Tanganyika zikachezea michuano ya CAF nchini Zanzibar, kwa lipi?
Ahyan said: vipi kama angesema wataomba iwe kenya ama uganda..?? Hoja ingekuwa nn Click to expand... Sababu za huo ujinga ni zipi? Halafu uliona wapi Timu za Tanganyika zikachezea michuano ya CAF nchini Zanzibar, kwa lipi?
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,286 Reaction score 31,682 Aug 24, 2024 #7 Mbona haushangai timu za nje kutumia uwanja wa Azam FC kuwa uwanja wao wa nyumbani?
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 15,526 Reaction score 27,553 Aug 24, 2024 #8 Timu ya TP Mazembe walichezea mechi yao Tanzania, Vital O walichezea Tanzania. Timu za Zanzibar kuchezea Egypt na Libya...
Timu ya TP Mazembe walichezea mechi yao Tanzania, Vital O walichezea Tanzania. Timu za Zanzibar kuchezea Egypt na Libya...
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,692 Reaction score 6,291 Aug 24, 2024 #9 Erythrocyte said: Sababu za huo ujinga ni zipi? Halafu uliona wapi Timu za Tanganyika zikachezea michuano ya CAF nchini Zanzibar, kwa lipi? Click to expand... Acha kukariri, mara ngapi timu hubadilisha viwanja tena ambavyo vipo nchi nyinginezo, mfano timu kutoka sudan, Ethiopia, libya, na kadhalika
Erythrocyte said: Sababu za huo ujinga ni zipi? Halafu uliona wapi Timu za Tanganyika zikachezea michuano ya CAF nchini Zanzibar, kwa lipi? Click to expand... Acha kukariri, mara ngapi timu hubadilisha viwanja tena ambavyo vipo nchi nyinginezo, mfano timu kutoka sudan, Ethiopia, libya, na kadhalika
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,209 Aug 24, 2024 #10 Unaleta chuki za kichadema kwenye mpira? Mbona vitalo kaja kutumia uwanja wa Tz kucheza game yake ya nyumbani?
Unaleta chuki za kichadema kwenye mpira? Mbona vitalo kaja kutumia uwanja wa Tz kucheza game yake ya nyumbani?
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,504 Reaction score 27,287 Aug 24, 2024 #11 Labda ni kutaka kuimarisha fanbase iliyoko Zanzibar tusisahau yanga Ina mashabiki wengi sana Kigali na Zanzibar
Labda ni kutaka kuimarisha fanbase iliyoko Zanzibar tusisahau yanga Ina mashabiki wengi sana Kigali na Zanzibar
TADPOLE JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 3,138 Reaction score 10,359 Aug 24, 2024 #12 Erythrocyte said: Michuano ya Caf ni ya Muungano? Click to expand... Zanzibar ni Afghanistan?
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,099 Reaction score 2,209 Aug 24, 2024 #13 Sioni tatizo lolote. Yanga ni timu ya Tanzania, Unguja ni sehemu ya Tanzania. Ni sawa na kupeleka mechi Kirumba Mwanza tu
Sioni tatizo lolote. Yanga ni timu ya Tanzania, Unguja ni sehemu ya Tanzania. Ni sawa na kupeleka mechi Kirumba Mwanza tu
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,298 Reaction score 33,623 Aug 24, 2024 #14 Siku cdm ikichukua hii itatugawanya vipande vipande,cdm ni wadini na wabaguzi wa kikanda vibaya mno!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,561 Reaction score 272,307 Aug 24, 2024 Thread starter #15 ukikaidi utapigwa2 said: Mbona haushangai timu za nje kutumia uwanja wa Azam FC kuwa uwanja wao wa nyumbani? Click to expand... Sababu zao zinajulikana
ukikaidi utapigwa2 said: Mbona haushangai timu za nje kutumia uwanja wa Azam FC kuwa uwanja wao wa nyumbani? Click to expand... Sababu zao zinajulikana
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,561 Reaction score 272,307 Aug 24, 2024 Thread starter #16 Lucha said: Unaleta chuki za kichadema kwenye mpira? Mbona vitalo kaja kutumia uwanja wa Tz kucheza game yake ya nyumbani? Click to expand... Sababu zao ziko wazi
Lucha said: Unaleta chuki za kichadema kwenye mpira? Mbona vitalo kaja kutumia uwanja wa Tz kucheza game yake ya nyumbani? Click to expand... Sababu zao ziko wazi
vibertz JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 3,091 Reaction score 5,785 Aug 24, 2024 #17 Erythrocyte said: Sababu za huo ujinga ni zipi? Halafu uliona wapi Timu za Tanganyika zikachezea michuano ya CAF nchini Zanzibar, kwa lipi? Click to expand... Nadhani shida kubwa ni kutokana na uwanja wa Mkapa kutoruhusiwa kutumika kwasasa ndio maana wameomba uwanja wa Amani badala ya wa Azam complex
Erythrocyte said: Sababu za huo ujinga ni zipi? Halafu uliona wapi Timu za Tanganyika zikachezea michuano ya CAF nchini Zanzibar, kwa lipi? Click to expand... Nadhani shida kubwa ni kutokana na uwanja wa Mkapa kutoruhusiwa kutumika kwasasa ndio maana wameomba uwanja wa Amani badala ya wa Azam complex
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,337 Reaction score 80,085 Aug 24, 2024 #18 Mgagaa na Upwa said: Siku cdm ikichukua hii itatugawanya vipande vipande,cdm ni wadini na wabaguzi wa kikanda vibaya mno! Click to expand... Naunga mkono hoja
Mgagaa na Upwa said: Siku cdm ikichukua hii itatugawanya vipande vipande,cdm ni wadini na wabaguzi wa kikanda vibaya mno! Click to expand... Naunga mkono hoja
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,561 Reaction score 272,307 Aug 24, 2024 Thread starter #19 Mgagaa na Upwa said: Siku cdm ikichukua hii itatugawanya vipande vipande,cdm ni wadini na wabaguzi wa kikanda vibaya mno! Click to expand... Huna hoja
Mgagaa na Upwa said: Siku cdm ikichukua hii itatugawanya vipande vipande,cdm ni wadini na wabaguzi wa kikanda vibaya mno! Click to expand... Huna hoja
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,692 Reaction score 6,291 Aug 24, 2024 #20 Erythrocyte said: Huna hoja Click to expand... Wewe ndio huna hoja