Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,845
- 5,077
Mi halotel ndo huwa wananisave kwenye bando. Network yake hainisumbui sanaHalotel wanakupa bando kubwa kwa bei kitonga ila network utajua mwenyewe unaipata wapi
Wanazingua mnooHalotel wanakupa bando kubwa kwa bei kitonga ila network utajua mwenyewe unaipata wapi
Vikojozi sn hao jamaaWanazingua mnoo
Wana utoto mwingi sana hawaHalotel wanakupa bando kubwa kwa bei kitonga ila network utajua mwenyewe unaipata wapi
YaanLine yangu pendwa ila Jana na Leo kimbembe
Mim na ww Nan yupo sawa mkuuUko sawa kweli mentally?
Nishapokoa zote nimewekeza kwengineHaya katoe sasa hilo buku la dagaa watoto wale
Wewe.Mim na ww Nan yupo sawa mkuu
Mbona makasiriko tenah π π,wewe ndio mmoja wapo wa wale watu fudenge fudenge eeehWewe.
Nmekalia kibuyu hapa unasemaje πMbona makasiriko tenah π π,wewe ndio mmoja wapo wa wale watu fudenge fudenge eeeh
Kama umekalia apo sawa must akili icheze ππNmekalia kibuyu hapa unasemaje π