[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]Wamarekani wanataka kuizima hiyo Huawei hataukiangalia Huawei marekani zimepandishiwa kodi niishu ya biashara Scars kiukweli iPhone haitiimguu hapo kwa huyo mchina saiz nawao ndio waitafuta hiyo 5G wakati wenzao wanatafuta 6
Andrey Andreev ni mrusi aliyejificha kwenye kichaka cha makampuni mengi nchini Cyprus katika mji wa Limassol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katika kichaka cha makampuni mengi![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Andrey Andreev ni mrusi aliyejificha kwenye kichaka cha makampuni mengi nchini Cyprus katika mji wa Limassol
Wafanyabiashara wengi huweka makao ya makampuni katika nchi ya Cyprus ili kukwepa kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante SanaAndrey Andreev ni mrusi aliyejificha kwenye kichaka cha makampuni mengi nchini Cyprus katika mji wa Limassol
Wafanyabiashara wengi huweka makao ya makampuni katika nchi ya Cyprus ili kukwepa kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo google siijuiMbona simple tuu, andika tu Badoo's owner kwenye Google.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Hivi ni kwanini eti, au Cyprus inaserikali dhaifu sana?Andrey Andreev ni mrusi aliyejificha kwenye kichaka cha makampuni mengi nchini Cyprus katika mji wa Limassol
Wafanyabiashara wengi huweka makao ya makampuni katika nchi ya Cyprus ili kukwepa kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria za kibaharia hatare sanaaaa πππHamna baharia alieoa mkuu, Piga chini wife uwe baharia πππ
Haaaaaahaaaaaa.Sina uhakika mkuu.Nyinyi ninasikia ni watu wa kula ban mara kwa mara.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
NimeshaangaliaAngalia majibu hapo juu,mdau ameshakujibu
Sent from my TA-1024 using Tapatalk