HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Kwa nini???
Sio kweli mkuu ishi kwa kiu na uchu kutoka moyoniWatu wanaopiga uo mtihan ujue vyeti hawana km wanavyo ni miswaki imepangana
Afu kwenda kusoma kwa majasiriamali mkubwa km yy ni kupoteza pesa tu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Huna hela nimeona ulaya kahitimu mwenye miaka 91Watu wanaopiga uo mtihan ujue vyeti hawana km wanavyo ni miswaki imepangana
Afu kwenda kusoma kwa majasiriamali mkubwa km yy ni kupoteza pesa tu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji126] [emoji126]vipi kile chuo chake cha street university kimefungiwa na TCU?
Mtu wa mapicha picha....Story teller....Leo atasema std 7 kesho utasikia Ana certificate ya nursing.Kwa nini???
[emoji1] [emoji1] UMENIFURAHISHAMtu wa mapicha picha....Story teller....Leo atasema std 7 kesho utasikia Ana certificate ya nursing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaahhh kupoteza pesa tu labda km anamelengo ya kugombea urais tff