O obwato JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 1,188 Reaction score 365 Mar 26, 2013 #41 taamu said: acha hasira unatukana utafikiri umejambwa hujazaliwa kawaida. Click to expand... Te the the the theee kwa hiyo kwa kuwa Katoka Pabaya ndio unadhani kajambwa? The the thee
taamu said: acha hasira unatukana utafikiri umejambwa hujazaliwa kawaida. Click to expand... Te the the the theee kwa hiyo kwa kuwa Katoka Pabaya ndio unadhani kajambwa? The the thee
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,918 Mar 27, 2013 #42 obwato said: Te the the the theee kwa hiyo kwa kuwa Katoka Pabaya ndio unadhani kajambwa? The the thee Click to expand... hawezi kumtukana mtu kwa vitu vidogo vidogo kama hivi halafu tukae kimya.
obwato said: Te the the the theee kwa hiyo kwa kuwa Katoka Pabaya ndio unadhani kajambwa? The the thee Click to expand... hawezi kumtukana mtu kwa vitu vidogo vidogo kama hivi halafu tukae kimya.
S sugar ray Member Joined Sep 10, 2012 Posts 7 Reaction score 0 Mar 29, 2013 #43 Cheka hakupigwa ila amefanyiwa hujuma na watu wa "corner" yake, cheka alikuwa anaongoza kwenye score cards zote tatu (57-56, 57-56 na 58-56) mtu wa corner yake alirusha taulo kuashiria kusimamisha pambano wakati cheka akiwa amemdhibiti mjerumani.
Cheka hakupigwa ila amefanyiwa hujuma na watu wa "corner" yake, cheka alikuwa anaongoza kwenye score cards zote tatu (57-56, 57-56 na 58-56) mtu wa corner yake alirusha taulo kuashiria kusimamisha pambano wakati cheka akiwa amemdhibiti mjerumani.