Hatimaye Charles Hillary aaga rasmi BBC

Ni moja kati ya watangazaji wachache wanaokupa sababu ya kukufanya uwe karibu na redio na kuwa makini na anachokiongelea...BIG UP..........
 
Nilikuta ndo anaamalizia kuaga ata sikuelewa..ndo kastaafu!!! ..mbona mapema sasa ...
 
Tutakutana nae Azam media, umri umesogea amestaafu sasa ila Azam anakuja kufanya kwa mkataba kama Mkurugenzi wa Azam media, tutegemee makubwa kutoka kwake kama alivofanya Tiddo Mhando
 
Nilikuta ndo anaamalizia kuaga ata sikuelewa..ndo kastaafu!!! ..mbona mapema sasa ...

Ameshafikisha miaka 55 ambao ni umri wa kustaafi kwa hiyari. Mwenyewe kaamua kustaafu kwa hiyari.. hata hivyo amekaa pale karibia miaka kumi. Kwa muda wote huo kumtumikia mzungu kunahitaji moyo!
 
bado kumsajili yule mwenye kigugumizi shaffih dauda na kumdondosha Azam tv

#Zitto
 
Tutakutana nae Azam media, umri umesogea amestaafu sasa ila Azam anakuja kufanya kwa mkataba kama Mkurugenzi wa Azam media, tutegemee makubwa kutoka kwake kama alivofanya Tiddo Mhando

ivi Tido yeye kapewa nafasi gani pale?
 
Tutakutana nae Azam media, umri umesogea amestaafu sasa ila Azam anakuja kufanya kwa mkataba kama Mkurugenzi wa Azam media, tutegemee makubwa kutoka kwake kama alivofanya Tiddo Mhando
Ni kweli kabisa, tutegemee mambo makubwa kutoka Azam media.

Hasa hasa unapoona 'majembe' hayo mawili, Tido Mhando na Charles Hilary, wakifanya kazi pamoja.
 
bado kumsajili yule mwenye kigugumizi shaffih dauda na kumdondosha Azam tv

#Zitto

Dauda fani yake ni IT huko kwenye habar kavamia tu labda ndo maana huwa anapata kigugumizi!..Azam wanachukua wenye taaluma ya habari sifa ambayo dauda hana
 
Mnazi wa Arsenal 'the guuners' mpaka kapewa jezi, nilishamshtukia siku nyingi japo yeye siku zote alidai ni shabiki wa timu ya mtaani kwake West Ham! Tutakumiss katika BBC ulimwengu wa soka!
 
Bye bye Charles Hillary ntakukumbuka kukuona kwenye tv daima tangu nakua na kusikia sauti yako na sura yako leo kwaheri sitakuona tena BBC welcome home we real love you .......

Anakuja kwenye utumwa wa kiarabu/kihindi, with no liberty/freedom to report! Sana sana kujikomba kwa mwarabu/mhindi na ku-betray wenzake apate favour! Ndio ajira za binafsi zilivyo nchi za dunia ya tatu kama yetu!
 
Wizi wa dada zako huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…