Hawataacha wanajeshi wanauza mitaani bia zao zenye nembo sembuse vifaa vya ujenzi.hiyo kweli ni habari njema askari sasa wajenge kama ilivyokusudiwa na sio wageuke wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi
ka ni hivo hapo kwenye red tunataka KATIBA MPYAUle utetezi wa Chadema bungeni kwenye bunge la bajeti umekubalika. Serikali imeondoa kodi zote kwenye vifaa vya ujenzi (polisi) ili askari wa kada zote waweze kujenga nyumba na kuacha kuishi katika full sute za mabati au zilizotengwa kwa pazia. TRA leo walikuwa hapa CCP Moshi kuwaeleza askari wanaoingia mitaani kuwa wameula na hawana sababu ya kuigomea serikali yao sikivu. Tunamshukuru Mh. Godbless Lema kwa utetezi wake.
why Polisi tu na Walimu je?
Nahisi hii ni tactic nyingine ya Magamba ya kuwataka Polisi watekeleze kila wanalotumwa... Hata kama linakiuka katiba
Ule utetezi wa Chadema bungeni kwenye bunge la bajeti umekubalika. Serikali imeondoa kodi zote kwenye vifaa vya ujenzi (polisi) ili askari wa kada zote waweze kujenga nyumba na kuacha kuishi katika full sute za mabati au zilizotengwa kwa pazia. TRA leo walikuwa hapa CCP Moshi kuwaeleza askari wanaoingia mitaani kuwa wameula na hawana sababu ya kuigomea serikali yao sikivu. Tunamshukuru Mh. Godbless Lema kwa utetezi wake.