Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Tutumie zipi sasa mkuu, mji wa mwanza unaujua ndugu?
Mpendwa, zipo njia kibao kati ya Mwanza south na mjini, kwa ufupi waweza tumia hizi( Pandisha bugando teremkea igogo au azania posta ingia relini nyosha hadi Mwa sauzi ) !! ipo njia ingine Nyerere rd. ingia Rwagasore nyosha unateremkea Kenyatta rd pale FINCA... !! ona uwepesi huo ? naujuaga mji wa MRocks ..since long!
Sio ajabu sana kwa kipande hicho kifupi kufungwa kwa zaidi ya miezi miwili.
Sidhani kama hiyo barabara ya bugando - igogo ni nzuri hasa kwa magari madogo, hizi zingine zipo ila mwanza ya sasa hivi jam kila mahali barabara ni chache, hiyo ya azania-posta-relini ni barabara gani mkuu
Hapo mukabala wa ofisi ya uhamiaji nyosha pitia pembeni mwa stesheni ya reli. ( kwani we huoni?, hio ni fupi sana) halafu jam ni nyerere rd.tu na jiji ndo lina kua Ukuwaji wa ajaabu ! tutafute means zingine za usafiri sasa...
Me naona Ramu, Mwezet unatumia njia moja tu tangu uje MZA !! maana Go and return ! Nyegezi to CCM bas !(tabora rd.) wee tuachie sie wanyeji tuharibu magari yetu kwa njia za mkato.Jamani wewe , huko unaosema kuna barabara ya gari? Huko ni njia ya watembea kwa miguu, sina hakika hata kama baiskeli zinapita huko relini
Me naona Ramu, Mwezet unatumia njia moja tu tangu uje MZA !! maana Go and return ! Nyegezi to CCM bas !(tabora rd.) wee tuachie sie wanyeji tuharibu magari yetu kwa njia za mkato.
Sidhani kama hiyo barabara ya bugando - igogo ni nzuri hasa kwa magari madogo, hizi zingine zipo ila mwanza ya sasa hivi jam kila mahali barabara ni chache, hiyo ya azania-posta-relini ni barabara gani mkuu
Sasa ndiyo nashangaa kweli ! Kwani treni ipo full time sii ya muda baada ya muda tu..... alafu unawatishia uchaguzi, basi treni iendelee ?Kwa kweli huko pita mwenyewe,mie ninachojua huko ni njia ya reli, mara unakutana na treni hiyoooo,(hivi treni ipo)
Sasa ndiyo nashangaa kweli ! Kwani treni ipo full time sii ya muda baada ya muda tu..... alafu unawatishia uchaguzi, basi treni iendelee ?
Sasa gari linapita wapi mkuu coz huko ni njia ya treni au unamaanisha tutembee kwa miguu, itabidi niende kuangalia hiyo barabara
Wakati wanyuma kabla sikuwa na gari, Nilikuwa naitime trena baada ya alasiri ilikuwa inanishusha kule mwanza sauzi ! na kuja mjini nilikuwanikipandia hukouko. Sasa bora wewe utume vijana au mpita njia wakuangalilie au ukatazame binafsi. Laa sivyo Butimba, nyegezi hufiki.
Ile kampuni ilikuwa inaitwa sijui Astad kama sijakosea nadhani
Kwanini nitume vijana? Najua huko vibaka wakiiba mjini wanakimbilia huko so hapako safe sana
Loolh!! kumbe wawajua watoto chori/vibaka, jamanii mwanza kwa mitoto ya ombaomba mchana na usiku vina balaa ivo !
washaninyakuli laptop na simu ! Aaah bora achana na maeneo hayo wee pandisha pamba rd. au pitia kanisani hadi stendi.
Umeona eeh! Huko sio pa kupita kabisa