Hatimaye Askofu Munga wa DKMS - KKKT apata mrithi wake

Hatimaye Askofu Munga wa DKMS - KKKT apata mrithi wake

Msambaa mkweli

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
339
Reaction score
439
Leo tarehe 26/11/2020 Askofu Munga wa DKMS-KKKT amepata mrithi wake Mch. Dr. Msafiri Joseph Mbilu kwa ushindi wa 84%.

Uchaguzi umekuwa wa Huru na Haki. Mungu awe kiongozi wenu kwani kuna mambo mengi hayapo sawa haswa sharikani, wengi tumeumizwa mioyo yetu.

Big up kwa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuhakikisha usalama wa kibinadamu.

All the Best.

IMG-20201126-WA0005.jpg
IMG-20201126-WA0005.jpg
 
Dayosisi ya kaskazini mashariki inajumuisha mikoa gani?
 
Afadhali.
Ule utawala umeppita. Labda hata chuo kitafunguliwa
 
Askofu

Nakumbuka ulinusulika kufa baada ya kulipa wafanyakazi malimbikizo ya mishahara yao na ukatimuliwa na baba waumini na jamii ina kutegemea ndio maana wamekuapa kazi nzito.

Wanaamini wewe si Mchungaji wa mtandaoni ila maisha na matendo yako. Yanaakisi nafasi ya uchungaji uliopewa.

Tunatarajia utawapa moyo waumini na yale yaliyopita. Shukrani za pekee kwa Maaskofu Waastafu wa Kanisa na Dayosisi walioshiriki kufanikisha mchakato kwa amani
Serikali tunaomba mpeni ushirikiano ili miradi yote iliyokufa ifufuke na hatimaye jamii ikanufaike na uwepo wa taasisi hiyo

Inuka uende,kazi hii inakungoja wewe.
 
Munga anajisikiaje baada ya kuua chuo walichokua wanakiendesha na mkewe.
You run a university in the boardroom not in the bedroom.
 
Duuh Maisha yanakwenda kwa kasi mno, mara ya mwisho kumuona huyu ndugu ni 1992 au 1993 kabla hata hajawa Mchungaji, sasa ni askofu. Good.
 
Leo tarehe 26/11/2020 Askofu Munga wa DKMS-KKKT amepata mrithi wake Mch. Dr. Msafiri Joseph Mbilu kwa ushindi wa 84%.

Uchaguzi umekuwa wa Huru na Haki. Mungu awe kiongozi wenu kwani kuna mambo mengi hayapo sawa haswa sharikani, wengi tumeumizwa mioyo yetu.

Big up kwa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuhakikisha usalama wa kibinadamu.

All the Best.

View attachment 1635259View attachment 1635259
Hayimaye Munga sii mchungaji tena
Amevuliwa , uchungaji rasimi
Kwa mayendo yake maovu aliyoyendea waumini enzi za uongozi wake
 
Back
Top Bottom