Mungu apewe sifa!
Kwa namna alivyovaa pasi na shaka huyu atakuwa ni Mnyarwanda au Mrundi...
Halafu oooonh ukiwa umeongozana na nanii hutakiwi kuangalia!!!!!!!
Kuna wanyama wanaoweza kufunzwaaa...
Hii sura wlahi unaweza kuhonga ATM yako na machine ya ATM pia ukamhonga na mali zako zoooooooteeeee.
sura utadhai hajaumbwa bali kafinyangwa...mweeee mereeee
watoto wazuri lakini bado wanatendwa na waume zao yani hapo ndo ninapochokaga
Umeona eehh? Watoto wazuri sana aisee! Kuzaliwa mwanaume eeehh...Wengine acha tubaki kula kuona, kumeza hisia, kushiba imani!