Hatimaye Ajira mpya walimu wenye shahada haya hapa

Ndugu zetu ajira mmezipata,msikatae kwenda kazini,kazi ni kazi ipo siku mtatoka kimaisha kwani daima hata mbuyu ulianza ova mchicha

All the best dear comrades!
 
Ndugu zetu ajira mmezipata,msikatae kwenda kazini,kazi ni kazi ipo siku mtatoka kimaisha kwani daima hata mbuyu ulianza ova mchicha

All the best dear comrades!

Asante mkuu ngoja nikatizame nami wamenipangia wapi
 
jiandaeni kuamka asubuhi unajikuta umelala kiwanjani uchi wa mnyama
 
na washauri walimu wasitubutu kukataa kwenda vituoni kuripoti.kwakuwa wapo wengi walioomba kufundisha wasio walimu.kwahiyo ukipoteza nafasi kwa ahadi ya mjomba wako ya kukuhamisha umepotea.
 
Wakuu ajira tamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hata kama....................................................
 
Mwenye ufahamu kuhusu fedha ya kujikimu tunaomba ufafanuz...ni sh. ngapi kwa wale wa shahada tusije zinguliwa hko!?..
 
Njoo mwana tujenge taifa,mi nipo kigoma vijijin toka 2009,tupo graduate4,nyarubanda high school,barabara rami,njia ya burund(kigoma kask)

Unaona sasa tatizo la kutotumia majina yetu halisi katika JF, kumbe tuko kituo kimoja halafu hatufahamiani, nami niko Nyarubanda High School, nafundisha masomo ya...........Basi Jumapili twende sokoni Manyovu tutaongea zaidi, si unajua sasa hivi lami Kigoma - Manyovu?
 
Back
Top Bottom