Hatimae Urusi yakomboa mji wake wa Bakhmut

Wagner Group ni kampuni ya ulinzi nilisha leta mada hapa kuhusiana na jeshi la Marekani na nato kuwa ni overated lakini baadhi ya watu wakanipinga ona sasa kampuni ya ulinzi imekomboa mji kutoka katika jeshi la nchi linalosaidiwa na Nato hii ni history ya aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…