Unyenyekevu,wema,hekima ,akili,shauli.. havipimwi kwa kutokunywa pombe Wala kutovuta sigara..omba Mungu ampe mwenzako maono,awe mbunifu..akupende kwa dhati.. ajitume na Zaid ya yote adumu katika kumcha mola wake..
Nikuulize..kwa kipindi hiki tangu mkutane wewe hapo unajivunia nini ambacho ikitokea vyovyote bado itakuwa kumbukumbu kwako...??!
Mume anatakiwa awe mwenye kujitegemea zaidi..Sion bulbu ikiungua anaita fundi kuja kumbadilishia au akipanda juu ya stuli kubadiliaha bulb anakwambia umshikie stuli asianguke!!...(umenielewa hapa?!) ..Ana mawazo chanya!?
NB:imekuwaje Jambo lilelile alilolitafuta Israel kwa bidii hakulipata lkn wale waliochaguliwa Tena walilipata!!? (Warumi11:7)
Muombe Sana Mungu ili muwe miongoni mwa wale waliochaguliwa Tena....